Sidhani kama kuna aliyeshindwa, dikiteita ana namna yake ya ku deal naye. Unataka awaue kama alivyofanya Idd Amin? Time will come.. Amin alikuwa haamini kuwa kuna siku ataikimbia Uganda!Chadema wamemshindwa jpm wamehamia Kwa pengo kweli mfa maji haishi kutapatapa
Acha uongo yy anawajibika kwa mapadri wake wa dar tu.. Hana uwezo was kumuita askofu yeyote was jimbo lingine nakumpa maelekezo
huko kuna wapumbavu wengi mno,mpumbavu.kanisa haliwezi kuwa na mtu mpumbavu km ww.
Dua la kukuSidhani kama kuna aliyeshindwa, dikiteita ana namna yake ya ku deal naye. Unataka awaue kama alivyofanya Idd Amin? Time will come.. Amin alikuwa haamini kuwa kuna siku ataikimbia Uganda!
Alitukuzwa kama huyu kwa kuogopa kuuawa.
He killed around 500,000 Ugandans!
Kuna mahali nimemtaja Mbowe wewe kifafa? Au una hamu ya kutapikiwa viporo vua x-mass?Unafikiri papa ni mbowe ??
toa huo upumbavu kichwanihuko kuna wapumbavu wengi mno,
nafsi yako hivi haikusuti mbele za mungu kuwaaminishaa watu mambo ambayo kiuhalisia ni tofauti kabisa
kwa hiyo umeamu kunitukana si ndiyotoa huo upumbavu kichwani
Demokrasia ni kuunga mkono kila kitu? Labda hili neno lina maana nyingi!!chadema bhna mnatukana hadi viongozi wenu wa dini alafu mnajiita chama cha demokrasia, how kiwe chama cha demokrasia wakati mnataka wote wawe na mawazo sawa?
Nikikumbuka mwaka 2012 June siku alivotuita Maaskofu na Mapadri kule Avion Resort Bagamoyo kufika tunaambiwa tumeitwa kikao cha kupanga mikakati kuzuia Waislamu wasihesabiwe kwenye sensa kubabake.
Tangu siku hiyo nikamdharau sana.
Mapadri wanne kesho yake tukabwaga manyanga. Tukaachana kabisa na habari za Upadri.
Wewe ndiyo mwenye tatizo kuuubwa sana. Badilika, fanya kazi, acha kulia liaTatizo kubwa sana lipo
Hata wewe tatizo lipoWewe ndiyo mwenye tatizo kuuubwa sana. Badilika, fanya kazi, acha kulia lia