Haya ukumbuke ile task niliyokupa!Inategemea na mtumiaji anapenda nini lkn km ndo ningekuwa dume yenye Lita nyingi ndo nzuri na inapendeza zaidi km njia husika inabana coz kule kubana na ile ujazo inafanya kuongezeke joto so ngoma haiishiwi utamu
Usiku mwema
[emoji106]Haya ukumbuke ile task niliyokupa!
hahahahahahhaha, tehe tehe tehe tehe
"Weka wewe hilo unalolijua la kweli"Sipendi kubishia jibu lako,lkn si la kweli.
Uliza, haina shidaBrother nimechelewa Vp naruhusiwa kuuliza maswali..
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Utakuwa ugonjwa wa mapenzi😀
Ushawah vuta bangi?Uliza, haina shida
Hahahaha We jamaa bana.Nipo abroad mkuu nimechanganya files
Poa poa mkuuTunasonga kk
Kipenzi jezi yangu usiitupe.Mzima sana
Ukimwona mwambie man u kafungwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ujaacha kupiga chabo? [emoji23]Mm nitakuwa mpiga chabooo
Napita tu.....
HahahahaNiliponusurika kuuawa kinyama baada kutangazwa mshindi wa kiti cha Urais mwaka 1995, nakumbuka ilikuwa mwezi Oktoba tarehe 31 siku ya Jumanne
Nipo ndugu yanguUsijali carba.
KK yuko wapi?
😀😀😀😀😀😛😛😛😛 hahahahhaahaKwi kwi kwi kwi nimeona maneno bebeeee na rungu tu.