Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,913
- 70,668
Ndo kazi yake bebeTogwa inaogeza yale!? Basi naileta gudulia maana nataka kuogelea kabisa ujue!
Ndo kazi yake bebeTogwa inaogeza yale!? Basi naileta gudulia maana nataka kuogelea kabisa ujue!
Yanaona mpaka uskuEeeee utaogopwa mwenzangu ya bundi tena
Niliponusurika kuuawa kinyama baada kutangazwa mshindi wa kiti cha Urais mwaka 1995, nakumbuka ilikuwa mwezi Oktoba tarehe 31 siku ya JumanneJambo gani hutolisahau maishani mwako ulilopitia!
Ilikuaje man!?Niliponusurika kuuawa kinyama baada kutangazwa mshindi wa kiti cha Urais mwaka 1995, nakumbuka ilikuwa mwezi Oktoba tarehe 31 siku ya Jumanne
Nimesahau hebu nikmbshe my azam colaAhahaha naomba ile namba uni pm bhasi Darling Leo tutoke out!
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Jamani kungekuwa na ndoa ya mikataba maana majibu yanafaidi sana![emoji23] [emoji23]
Bahati mbaya mi nilikuwa ni mdogo sana, nakumbuka nilikuwa na miaka 9 niko std 2C, lakini nilikuwa na akili sana. Hiyo yote ilitokea kwa sababu pale mtaani nilipokuwa nakaa kulikuwa na matawi mawili ya vyama vya siasi , ambapo mojawapo mzee wangu ndio alikuwa MwenyekitiIlikuaje man!?
Ulikuwa chama gani au wakala Wa chama gani na vipi ulimkimbia Israel ?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Bangi ishazungumziwa?
Pole ila l guess mzee alikuwa chama chenye makao pale kwa wagogo!Bahati mbaya mi nilikuwa ni mdogo sana, nakumbuka nilikuwa na miaka 9 niko std 2C, lakini nilikuwa na akili sana. Hiyo yote ilitokea kwa sababu pale mtaani nilipokuwa nakaa kulikuwa na matawi mawili ya vyama vya siasi , ambapo mojawapo mzee wangu ndio alikuwa Mwenyekiti
My Diclofenac mbn sikumbuki[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni hivi ile ya pinduapindua my jambo kola!
Mkuu mbona vyuma vyote hivi unamiliki wewe tu tuachie vingine na sisi[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni hivi ile ya pinduapindua my jambo kola!
PoleeeeMkuu mbona vyuma vyote hivi unamiliki wewe tu tuachie vingine na sisi
Najisikia vibaya sana nini hii sasa
Shit [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
Nilikuambia unitag kwenye mrejesho wako lakini hujanitag, kulikoni?Mm nitakuwa mpiga chabooo