Alibakari live interview on DJ sepetu show!!

Anajua kama nina mke, bahati nzuri nilimweka wazi, ni mchepuko lakini sio wa kingono sana sana ni kufarijiana tu.
Kuhusu ID yake naipenda kuificha ila nikipata idhni yake nitaiweka wazi.
Hivi simba anaweza kuwa na urafiki na mwanakondoo,time will tell!
Ushawahi kamata mkwanja wako mwenyewe mrefu ka kiasi gani!?
Ulifanyia Nini!
 
Muombe ridhaa yake utuwekee hiyo ID wazi.

Wapo wengi wenye michepuko kwa hapa JF kwa lengo kama lako na tunawajua vizuri tu na tunataniana na kufurahi kama kawaida
 
Hivi simba anaweza kuwa na urafiki na mwanakondoo,time will tell!
Ushawahi kamata mkwanja wako mwenyewe mrefu ka kiasi gani!?
Ulifanyia Nini!
Inawezekana pale tu ukiweza kuzizuia hisia zako za kingono kuwezo kutawala fikra zako.
Nilishawahi kukamata mkwanja mrefu, kama sikosei ilikuwa ni 20,000,000 na ndio ambazo nilitumia kununulia kiwanja na kuanza ujenzi.
 
Jambo gani hutolisahau maishani mwako ulilopitia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom