Alibakari live interview on DJ sepetu show!!

Alibakari live interview on DJ sepetu show!!

Labda baby wangu je!?acha tushuhudie fumanizi la weekend[emoji23] [emoji23]
Alibakari weka id kama kweli unam trust huyo mrembo Wa jf!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Bahati nzuri hana tabia za kuomba hela, kwa hilo namsifuz sio kama mabinti wengine kuweka mbele njaa kuliko utu
Kumbe wanaoomba hela wanawake wote mkome!
Kikwete ama magufuli,kwanini?
 
Nimejifunza mengi sana miongoni mwa hayo ni
1. Usimdharau usiemjua
2. Msaidie mwenye kukuomba msaada
3. Ulimwengu huu huwezi kumridhisha kila mtu
4. Usimtuaini binadamu mwenzio
5. Simamia unaloamini kwenye kutafuta
6. Kama kweli unataka kufanikiwa achana na starehe wakati wa kutafuta
7. Muomba Mungu hachoki
8. Ukijaaliwa kupata wakumbuke na walio chini yako
9. Sio kila aliekaribu na wewe anapenda maendeleo yako
10. Usidhulumu na unapomkosea mtu muombe msamaha haraka, maana dua ya aliedhulumia hairudi nyuma.
Nimekupa vizuri Mkuu
 
Niko vizuri kiasi kwani kuna kipindi niliwahi kupewa mtaji mdogo na mmoja kati ya madada zangu, nilifanya vizuri, nilikuza na mtaji lakini ilinilazimu niache ili kuendelea na masomo.
Ukiwa hivyo shombeshombe yani mulatto kama ulivyodai,kumekuwa na dhana kuwa familia za kiarabu hata Wa kuchovya huwa na ubaguzi hasa kwa weusi,nini maoni yako?
 
Ukiwa hivyo shombeshombe yani mulatto kama ulivyodai,kumekuwa na dhana kuwa familia za kiarabu hata Wa kuchovya huwa na ubaguzi hasa kwa weusi,nini maoni yako?
Sio kweli hakuna ubaguzi, ukweli ni kwamba vijana wengi huwa wanaingia kwenye familia za watu kwa lengo la kuchovya tu ili kujua ladha za mabinti hao, wakishajua ladha wanapotea, hakuna mzee anaependa mwanawe aharibikiwe na ndio maana familia nyingi za kiarabu utakuta baba aidha binti yake atamuozesha kwa mtoto wa rafiki yake au kwa mwarabu mwenziwe ambae anajua anauwezo wa kuoa.
 
Sio kweli hakuna ubaguzi, ukweli ni kwamba vijana wengi huwa wanaingia kwenye familia za watu kwa lengo la kuchovya tu ili kujua ladha za mabinti hao, wakishajua ladha wanapotea, hakuna mzee anaependa mwanawe aharibikiwe na ndio maana familia nyingi za kiarabu utakuta baba aidha binti yake atamuozesha kwa mtoto wa rafiki yake ai kwa mwarabu mwenzio ambae anajua anauwezo wa kuoa.
Una ndoto gani na nini unafanya kuifikia
 
Una ndoto gani na nini unafanya kuifikia
Ndoto zangu kwa hapo baadae ni kuwa mfanyabiashara mkubwa/engineer, ambapo kwa hivi sasa bado napigana kwenye electronics kuumiza kichwa ili hapo baadae nije kubuni kifaa kitakachoendana na technology ya wakati huo.
 
Ndoto zangu kwa hapo baadae ni kuwa mfanyabiashara mkubwa/engineer, ambapo kwa hivi sasa bado napigana kwenye electronics kuumiza kichwa ili hapo baadae nije kubuni kifaa kitakachoendana na technology ya wakati huo.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] unakumbana na changamoto zip vip unatoboa?
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] unakumbana na changamoto zip vip unatoboa?
Changamoto ni nyingi sana, maana kila ukiumiza kichwa ubuni kitu gani unakuta mataifa yalioendelea tayari washakibuni na tayari si ndani ya muda mrefu kinainhis sokoni
 
Iliharibika kweli.
Huyo binti alikuwa ni mzuri shombe shombe hivi, halafu alikuwa anaishi peke yake na hakuwa na bwana, then amejaa zile neema[emoji38] [emoji23] lakini ilibidi nisimamie maslahi yangu. Vizuri ni kwamba ukijua unachokitafuta hupati shida.
Hao mafundi wengine wanaotumia hizo kama fursa kikawaida huwa kipato chao hakizidi na badala yake kinapungua.
Asalaam sheikh.... Unasema alikuwa kajaa nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom