Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,676
[emoji106] [emoji106]Ondoa shaka, ngoja nimuombe muhusika.
[emoji106] [emoji106]Ondoa shaka, ngoja nimuombe muhusika.
Sijapoa aise sasa kila mwanamke anamshobokea jamaa inakuwa kama sisi wengine hatuna mashinePoleeee
Ahsante, mke wangu ni mtu mwenye upendo usio na kifani kwangu, mpole, msikivu, mstahmilivu, mvumilivu, mama makini na anaejali familia yake, ALLAH amzidishiePole ila l guess mzee alikuwa chama chenye makao pale kwa wagogo!
Nini unampendea mkeo ambacho ni ngumu kukikuta kwa mwanamke mwingine!?
Hujuii kumuoa yeye!
Mkuu fight with your weather nyuki anatua penye maua[emoji23] [emoji23]Mkuu mbona vyuma vyote hivi unamiliki wewe tu tuachie vingine na sisi
Najisikia vibaya sana nini hii sasa
Shit [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
Nina hasira mods wamefuta nahis hata mrejesho watafutaNilikuambia unitag kwenye mrejesho wako lakini hujanitag, kulikoni?
Pamoja na mvua hii ya sifa binadamu sio malaika nn udhaifu Wa mkeo? Unadhani nini kinaweza kumfanya akusaliti hatuombi hayo lakini!Ahsante, mke wangu ni mtu mwenye upendo usio na kifani kwangu, mpole, msikivu, mstahmilivu, mvumilivu, mama makini na anaejali familia yake, ALLAH amzidishie
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Niliponusurika kuuawa kinyama baada kutangazwa mshindi wa kiti cha Urais mwaka 1995, nakumbuka ilikuwa mwezi Oktoba tarehe 31 siku ya Jumanne
Maua yapo mkuu sema kima........ Vvvvvvv kimeniandamaMkuu fight with your weather nyuki anatua penye maua[emoji23] [emoji23]
Samahani mkuu,yale mambo yako ya kununua warembo Badoo unafanya?Ahsante, mke wangu ni mtu mwenye upendo usio na kifani kwangu, mpole, msikivu, mstahmilivu, mvumilivu, mama makini na anaejali familia yake, ALLAH amzidishie
Udhaifu wake ni kama binadamu wengine, lakini akiona jambo loloye haliko sawa basi yeye huhitaji apate maelezo ya kina. Ni vizuri sana na namsifu kwa uadilifu. Kuhusu usaliti, hakuna binadamu mwenye uwezo wa kumzuia binadamu mwengine kwenye jambo hilo endapo tu ameamua kufanya hivyo. Lakini kwayeye namsifu kwa uadilifu.Pamoja na mvua hii ya sifa binadamu sio malaika nn udhaifu Wa mkeo? Unadhani nini kinaweza kumfanya akusaliti hatuombi hayo lakini!
Nipo hapa coz ndoa za mitaala siziweziSijapoa aise sasa kila mwanamke anamshobokea jamaa inakuwa kama sisi wengine hatuna mashine
Hii nini sasa (ila nina wivu balaa) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee.Nina hasira mods wamefuta nahis hata mrejesho watafuta
Sawa! Je ukipewa million 200 na mchepuko umpige bao moja_ sorry!Udhaifu wake ni kama binadamu wengine, lakini akiona jambo loloye haliko sawa basi yeye huhitaji apate maelezo ya kina. Ni vizuri sana na namsifu kwa uadilifu. Kuhusu usaliti, hakuna binadamu mwenye uwezo wa kumzuia binadamu mwengine kwenye jambo hilo endapo tu ameamua kufanya hivyo. Lakini kwayeye namsifu kwa uadilifu.
Duh!!! Mods wanatubania pole mremboNina hasira mods wamefuta nahis hata mrejesho watafuta
Naam, swali zuri[emoji4] [emoji4] kuna kipindi nilikuwa nasoma, fani niliyokuwa nasomea ndio ilinilazimu kufanya utafiti, kwahiyo katika utafiti nilokuwa nafanya ilinilazimu nitumie njia mbali mbali kwa lengo la kupata taarifa sahihi. Baada ya kumaliza, nilifuta mpaka account. Sikuwa lengo baya nao.Samahani mkuu,yale mambo yako ya kununua warembo Badoo unafanya?
Potelea mbali nipo tayali kuacha nianze upyaNipo hapa coz ndoa za mitaala siziwezi