Nimefanya kazi na wachina ktk kampuni tatu tofauti. Kote huko mwizi walimwita Alibaba... Nini kilitokea kati ya wachina na kampuni ya Alibaba?
😀Kama kaaa mkuuMnapiga kimanyafu
Jack Ma chori kapetoAlibaba wenyewe wanasemaje kuitwa mwizi?