Ali Kiba - Mwana Dar es Salaam (video)


Kiingereza nacho mzinguo...
 
Kuwa unpredictable ni kitu moja safi sana. Watu waache kukariri. Naunga mkono hoja yako.

Mie nawakubali wote wawili kwa sababu mnatengeneza series ya ujinga... Penye ukweli tuseme.. Ile video haina mashiko kwa sie fans wake... Tunasikilizia itakavyokuwa mbele makosa ndo humfanya mtu kukua kiakili na kafanya vitu vya kuonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…