ngafu.fijo
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 1,240
- 1,102
Ujumbe umfikie dada NifahYaah kuna vitu vipo wazi ndo maana wenzetu wakasema call spade the spade kiuhalisia na kimtizamo wa mashabiki wake ambao wana tegemea makubwa kutoka kwake.Anajikuta ana mlima mrefu wa kupanda kusingekuwa na tatizo kama asingekuwepo diamond ingekuwa sawa ila uwepo huo ndo tatizo kwamba huyu akitoa kitu kizuri basi na yule atoe kimsingi ningefurahi kuwa na wana muziki wengi kama ilivyo nigeria but wana safari ndefu na Waache kujidanganya.
Sina habareeee,naenjoy good music mie.Ujumbe umfikie dada Nifah
VEDIOVedio itatoka 05/11/2016
tatizo kang'ang'ania kiti kumbe kiti chenyewe sio chake waliomdanganya wamemkimbia pemben wanamchekaHahahahaaaa kiba atawaua kwan msanii hapa bongo ni kiba tuu
Duh,mkuu umeua!au unataka kusema nyimbo zake huwa zinabamba mbugani tu?!Huu ndio uwezo wa kiba,sijawahi kusikia nyimbo nzuri kutoka kwake zaidi ya nakshi nakshi mrembo.
heee alishatembea na R kelly kumbekiba ni mfalme hakuna kama yeye bongo msanii pekee aliyetoka na R.KELLY ndani ya bongo na east africa, no one like him.
wakuu K 4 REAL anatisha hii ngoma ni noumaaaa usichezee moto wa K 4 REAL ata monds anaujua ndo maana amekaa kimyaaaa. kiba anatishaaaaaa
hahahaahhaaaa,na iyo picha alivozubaaa sasa huyo the so called king utasema kweli anachoambiwa ni iki ulichokiandika hapa.
baby hivi unawaimbia tembo au unaniimbia mimi?
Kwanini usifanye kama baba T
Hivi msanii Wa kimataifa maana yake nini?...huenda mm sielewi tuanzie hapo kwanza then ndo tujue kiba tumuweke kundi gani... Hebu Kaka hapa uloandika nusu barua kama koment msanii wa kimataifa maana yake nini?OK ok ok..
1st. Wote tunajua kuwa kiba anafight awe msanii wa kimataifa na tunamuombea kheri kwenye hilo so ameona afanye wimbo electronic ili apate attention ya kimataifa ila alochokosea ni kwamba nyimbo za mahadhi ya electronic zinapendwa zaidi nnchi za magharibi na si afrika, na ili uliupenye soko la magharibi kwanza unatakiwa uwe na base nzuri afrika! So hapo naona ‘king’ amechemka au waliomshauri walipotoka..
2nd. Kiba ni msanii mkubwa sana hapa Bongo sikutegemea afanye kosa kama hili wimbo huu kwa 70% umefanana kabisa na wimbo wa Hussein machozi ”am ddicted to you”!! Tunaweza tukabisha, tukavua Nguo na kugaragara kwa ubishi wa mahaba, lakini ukweli ni huo wimbo huu ni kama amesamlpe ‘addicted to you’!! Angefanya kosa hili underground ningeelewa lakini kiba??? Jamani, what happened???
3rd. Kiba hatakiwi kulazimisha kutengeneza ‘club bangers’, aina yake ya uimbaji inafaa nyimbo flani hivi za Ujumbe wa kusikiliza kwa utulivu mfano nyimbo ya mwana!! Sasa hii kasumba ya nayeye anataka awe na club banger inampoteza na ndicho kilichomcost kwenye cheketua!!
Mwisho! Namshauri kiba atoe nyimbo nyingine fasta kuepuka damage ya itakayoletwa na hii nyimbo maana kwa promo iliyopewa hii nyimbo kwa kweli niko very disappointed.!!
c'mon kiba you can do better than this, alafu usitake kushindana na wenzako ambao wameshavuka tayari jaribu kujifunza kutoka kwao!!
Hebu wataje brotatizo kang'ang'ania kiti kumbe kiti chenyewe sio chake waliomdanganya wamemkimbia pemben wanamcheka
Wacha weee hahahahaaaa hâta babako hakubali suala hilo #samahani lakiniDuh,mkuu umeua!au unataka kusema nyimbo zake huwa zinabamba mbugani tu?!
Mmmmh,mdau uctake kuja kusema Kiba kujulikana Afrika Mashariki ndo keshakuwa msanii wakimataifa hapa!Afrika Mashariki hata Berry black wanamjua.Hivi msanii Wa kimataifa maana yake nini?...huenda mm sielewi tuanzie hapo kwanza then ndo tujue kiba tumuweke kundi gani... Hebu Kaka hapa uloandika nusu barua kama koment msanii wa kimataifa maana yake nini?
Hujajibu swali bro.... Fafanua maana ya msanii Wa kimataifa then twende Kazi kwa hoja MzeeMmmmh,mdau uctake kuja kusema Kiba kujulikana Afrika Mashariki ndo keshakuwa msanii wakimataifa hapa!Afrika Mashariki hata Berry black wanamjua.