Ali Kiba: Kazi to Kazi!

sijawahi mkubali huyu jamaa. na hiyo nyimbo lazima ibume. anamshirikisha chaka chaka zilipendwa. hata mchikichini hawataipenda
 
Screenshot_2017-02-23-06-55-29%7E2.jpg
yupo huku.
 
Alafu Ali ngoma zake zinadumu kwasabab znachelewa kupenya sokon ambapo watu wanazpata kwa tartbu sana tofaut na mond ambapo akitoa Leo dunia nzima inajua kuwa mond katoa ngoma (waenga husema kivumacho hakidum) AF pia yeye mwenyew ndo uchangia kufanya ngoma zake zsikae mda mrefu sokon mana hutoa ngoma nying kwa vpind vfupi vfupi ndo mana.. kimsing Kiba kwa sasa hana tofaut na benpol na kina barnaba
 
Back
Top Bottom