Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kiba hua anakera sana anavyokaa kimya ila sasa akidondosha kitu mnasahau upumbavu wake wa mwaka mzima,Man Walter anajua sana kutengeneza midundo aiseeeee ukisiliza seduce me na utaniau ya Jux utanielewa kuna upekee wa hali ya juu kwenye mikono yake napenda muziki usiokua na vurumai hii seduce me inaenda kumuweka Kiba dawati la mbele zaidi kwenye kipindi cha hesabu anaonyesha anajiamini na anajua anachokifanya.
Zilipendwa naona kama KAMBI RASMI YA UPINZANI wamepanick ivi badala ya kuja na fire extingusher kwenye moto wamebeba madumu ya petrol.
Nimependa ulichoandika. Hasa hapo mwisho
 
fa324bbcc97b211a64c08cc694cb18ec.jpg


Domo anaburuzwa, hii sio kimbizwa ya nchi hii

D.A "Mwanaume mashine"
 
Back
Top Bottom