Ali Kiba Fans' Special Thread...

wakiongoza wanasema wananunua viewers,mkiongoza nyie eti mnakimbiza jamani watz hatuishiwagi la kusema kijikasoro tuu kadogo sana tunakatafuta tunakatia chumvi asali maziwa sukari nakadhalika story inakua kubwa kama Sisimizi kaangusha kabati vile...

ila Alikiba alitoa nyimbo kabla ya mwenzake kwahiyo sioni tatizo hapo labda uniambie baada ya masaa 24 je,nani alikua na viewers wengi?
 
Numb = RIhanna
Numb = Usher
Numb = Linkin Park

Where are You = Jay Sean
Where are You = Bob

Hello = J Cole
Hello = Adele

Dive = Usher
Dive = Ed Sheeran

I Miss You = Beyonce
I Miss You = Adele

Lay me down = Sam smith
Lay me down = Adele

Runaway = Kanye west
Runaway = J cole

Show me = Usher
Show me = Bruno Mars

umejifunza nn hapo je ushawahi sikia msanii wa nje analalamika kuibiwa jina la wimbo na msanii mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Majina ya nyimbo yamefanana lkn idea zake ziko tofauti.. mfano mwingine aweza tumia jina Anita akimaanisha kuteswa ktk mapenzi na huyo Anita na mwingine aweza tumia jina hilo katka kuonesha mapenzi ya kweli ya Anita.. umeelewa hapo nachomaanisha?? FUNGUA UBONGO NA MACHO HAYO USIJIFANYE HUONI KUWA IDEA NA HATA JINA LA WIMBO ZIMEENDANA... zilipendwa ya matonya na hii ya WCB imefanana kuanzia jina la wimbo wenyewe na hata Idea.. ukiwa jamii forum yafaa utulie kwanza katika kuleta hoja madhubuti.. sasa kaa usikilize wimbo wa make T Mnyalu ft Mad ice ile inayoitwa JE UTANIPENDA?? kisha kaa usikilize wimbo wa DIAMOND uitwao JE UTANIPENDAGA?? hizo hapo zimefanana idea zake hivyo basi DIAMOND yafaa atulie atunge wimbo kwa idea yake mwenyewe.. Sio kwamba KIBA hajawahi kucopy idea au wimbo amewahi na mfano halisi ni ule wimbo wake wa KIMASOMASO. Sina timu yoyote kati ya KIBA na MOND ila kwa kuangalia idea nzuri huyu KIBA anakuwa na idea nzuri na ambazo zinakaa muda mrefu sana.. mfano angalia nyimbo hizi hapa
1. Mac muga
2. Cinderela
3. Mapenzi yana run dunia
4. Mwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
f86976cc615ed176c87bd2fe01b3398a.jpg
 
Kwa wael wote tuliolalamika kwamba video za wabongo zinawatukuza wanawake weupe na wazungu kama Msukuma mshamba anayelipia ng'ombe wengi kwa mahari ya mwanamke mweupe, Ali Kiba katujibu.

Hata kama cheusidawa uzuri wake haupimiki kwa Perelman's solution of the Poincare Conjecture overlapping Mirzakhani methods.
 
Back
Top Bottom