Ali Kiba Fans' Special Thread...

Nyimbo ya matonya hiyo zilipendwa.

Nawapenda ila sio kwa copy hizo
Ukisema majina yamefanana nitakuelewa! By the way ile zilipendwa ni Remix..kuna zile sura mpya ndani ya ule wimbo ambao ndio watunzi halisi na ukisikiliza zilipendwa yenyewe wamewataja mpaka akina Jaydee! Niliwahi isikia Efm!
 
je ushawahi sikia nyimbo ngapi zenye idea ya mtu ku salitiwa na mpnz, au mtu kumuimbia au kumsifia mpnz wke anampenda?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kaisikilize nyimbo ya zilipendwa ya matonya ndo utajua namaanisha nini?

Kama mdundo wa kuchekezeka, hata mwanaume mashine inao.

Kikubwa ni ubunifu na sio kuchukua idea ya mtu alafu unanyonga beat tofauti na kutembea nayo

ndo maana nimekuambia nyimbo kufanana idea sio jambo la kushangaza kuliko turudi nyuma kasikilize nyimbo ya Iyaz solo na ya Jason Darulo riding solo hizi nyimbo zilitoka kwa kufatana ila hamna kati yao alio lalamika maana wanajua idea zina weza zikawa sawa ila how una express ndo tofauti na kwny hatimiliki ya mziki hamna kitu kinaitwa et hatimiliki ya idea wa wimbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiba hua anakera sana anavyokaa kimya ila sasa akidondosha kitu mnasahau upumbavu wake wa mwaka mzima,Man Walter anajua sana kutengeneza midundo aiseeeee ukisiliza seduce me na utaniau ya Jux utanielewa kuna upekee wa hali ya juu kwenye mikono yake napenda muziki usiokua na vurumai hii seduce me inaenda kumuweka Kiba dawati la mbele zaidi kwenye kipindi cha hesabu anaonyesha anajiamini na anajua anachokifanya.
Zilipendwa naona kama KAMBI RASMI YA UPINZANI wamepanick ivi badala ya kuja na fire extingusher kwenye moto wamebeba madumu ya petrol.
 
Mkuu hapo mwisho kwenye maelezo yako nimecheka sana.

-Ndumilakuwili-
 
Je utanipenda= Mike T
Je utanipendaga= Mondi
Chambua kama karanga= Saida
Chambua kama karanga= Mondi
Zilipendwa= Matonya
Zilipendwa= Mondi
...... Kwisha kazi
 
Back
Top Bottom