pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,087
mshindi nisha mjua mama ubaya atapiga promo tena kwa king
Hilo sio la kuuliza, sisi ndio wakali wa hizi kazi.Habari njema kiba kawa nominee kwenye tuzo za Afrima, tupige kura sasa
Habari njema kiba kawa nominee kwenye tuzo za Afrima, tupige kura sasa
The king is back, hata mi nimeona walahi huyu ndiyo mfalme
Mondi Category 7 tehtehteh
Kwani alikuaga wapi???
Mwambieni kiti kishakaliwa na mwenyewe hainuki leo wala kesho.. 1 category vs 7 categories
We mama mondy category 4 sio 7
haya wewe hizo 4 umezitoa wapi
Atakuja tena kubisha, hutaamini!