miss youuuuu
Malimao yamekupa nguvu kidogo umerudi
LE MAFURIKOZZZZZ hahaha wakina jekate wanalia huko instagram...
Mi nishanyoooka tokea 2010 nikasema huyu hafaiiiii
Mkuu nikusaidie
Jokate alikuwa anafanya kazi chanΓ±el o na Iceprince kipindi kimoja
Shetta kapigiwa pande na diamond
Dimpoz kapigiwa pande na AY
Lakini ukae ukijuwa collaboration sio kila kitu, coz J martins, Kcee, na Iceprince hujawaona wote mtv
Afu unajuwa mo music na barakah da prince wanalipwa kiasi gani kwa show??? ndio ufananisha na kiba???
Mond ni non stop katoka kufanyama wandaaaz tar 24, tuna show kilimanjaro kiingilio minimum 30000 hadi 200000 huo ndio ubabe sasa
Niwakumbushe Kesho nominations za Afrimma zinatoka, kwa hili naweka uteam pembeni i expect kumuona kiba kwenye best East Africa category hata nomination tu itamtoshΓ
STAY TUNED
Gosh! Una maana gani kumuambia mwanaume mwenzio hivyo?
Makubwa haya!
Ali kiba afrimma awards kwa nyimbo gani ile Kati ya izi kidela, mwana, kimasomaso, au chekecha :what:
Kama umemuona anavyotia huruma mkuu usingeongea maneno hayo... sio vizuri kabisa eti nifah
Ali kiba afrimma awards kwa nyimbo gani ile Kati ya izi kidela, mwana, kimasomaso, au chekecha :what:
Mtataja zote, jamaa katulia nyie mnaweweseka, whos the boss. Hahahahaah kibaaaaaa peleka peleka, hakuna na video bora wala nyimbo. Jamaa ni watalaam wa kukata mauno afrika nzima
Mkuu nikusaidie
Jokate alikuwa anafanya kazi chanΓ±el o na Iceprince kipindi kimoja
Shetta kapigiwa pande na diamond
Dimpoz kapigiwa pande na AY
Lakini ukae ukijuwa collaboration sio kila kitu, coz J martins, Kcee, na Iceprince hujawaona wote mtv
Afu unajuwa mo music na barakah da prince wanalipwa kiasi gani kwa show??? ndio ufananisha na kiba???
Mond ni non stop katoka kufanyama wandaaaz tar 24, tuna show kilimanjaro kiingilio minimum 30000 hadi 200000 huo ndio ubabe sasa
Niwakumbushe Kesho nominations za Afrimma zinatoka, kwa hili naweka uteam pembeni i expect kumuona kiba kwenye best East Africa category hata nomination tu itamtoshΓ
STAY TUNED
Hatuwezi kufananisha usingizi na kifo hata kidogo ni uchizi
Tupo hapa kama maripota kutoka Mtv na wasaaaaaaaafi baby, kuwafikia mahaters woote
MTANYOOKA TU
Ktma ingekuwa haina thaman msingetoka mishipa mpaka siku ya jana mlipopata kibali cha kuwa wakata viuno rasmi afrika. Vipi maumivu mana boss wenu aliwashukuru kwa kuwapiga dole kati dah!! Hahahahahaha ndio maana mnashinda humu, jaman si hatutaki mambo hayoJe wajua ile tuzo ya live act Ina thamani gani π izo ktma zenu zipange zote bado haijafika thaman ya ile tuzo #eiddmubarack
Ktma ingekuwa haina thaman msingetoka mishipa mpaka siku ya jana mlipopata kibali cha kuwa wakata viuno rasmi afrika. Vipi maumivu mana boss wenu aliwashukuru kwa kuwapiga dole kati dah!! Hahahahahaha ndio maana mnashinda humu, jaman si hatutaki mambo hayo
Najua Una cho pitia now daka izo 👇👇👇
Hahahahaha jaman hiyo michezo ya kushukuru kwa kupeana madole kati si hatuna, malizieni huko tandale. Kiba ni mstaarab huwa hashukuru fans wake kwa kuwapiga madole. Nafkir hizo ndimu ujipepeee baada ya....
Lile dole lilikuwa for u haters kumbe ulikuwa ujui πππππ
Only international artist ndo tuna onyeshaga madole km davido n diamond
Nafurahi kwamba umekubali dole. Safi