Best hizi siasa sijawahi kuwa nazo interested kama mwaka huu, na nimeumia mnoooo!
Acha tu mito ile siku sikulala kabisa, kama utakumbuka tetesi zilianza saa 7 basi nilikesha simu mkononi nisiamini kilichotokea.
Nahisi kurudia kuichukia tena siasa, sio kwa mambo yale kwakweli.
Asante dear, punguza hasira bwana, tutaenda nao ado ado hadi watasanda tu.
Makamanda wa ukweli hawakimbii vita bali wanapambana hadi mwisho.
Huko kwingine sijapazoea jamani, nilishapachoka naona hata taabu kurudi huko.
Aaaaaah we mtoto jamani duhhhh!!!!!
BACK TANGANYIKA
Tusubiri tu,yeye sio mjinga anajua anachokifanya.
Mamy i miss you...
Loo
Kwa iyo wenzio tulivokua tunakuita ulikua unauchuna tu?
Mtoto mbaya wewee.
Nilikuja mbona kesho yake ni kacomment ikafutwa hapo hapo nikaona sio kesi nishawekwa kwenye rada.
Nyie zenu zilibaki yangu ikafutwa nikasema sio kesi nikahamishia vurugu insta na nipo pia nalinda Tembo
😱😱😱
Kwema lakini?