Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mhhhh. .honestly say nilikua poa katika suala la Imani.Ila kawaida hali ilikua tete.
Sitaki hata kukumbuka ni jinsi gani nilimmiss mtu fulani humu ndani....acha tu!

ni changamoto tu hizo wala usijali. hope mambo yataenda poa kama kawaida. hahaha ulimiss sana jukwaa
 
Mhhhh. .honestly say nilikua poa katika suala la Imani.Ila kawaida hali ilikua tete.
Sitaki hata kukumbuka ni jinsi gani nilimmiss mtu fulani humu ndani....acha tu!
Habari yako nifah!?
Asante, nawe pia.

 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa khaaa, wewe mtu sikuwezi kwa umbea.
Naona hiyo post ya hapo kati umeichanganya ili kupoteza maboya, ila posts lengwa ni hizo mbili.

Salaam haigombwi hata hivyo....
Mimi mzima kabisa sijui wewe bwana Ruttashobolwa...habari za masiku tele?
Teh Teh..habari ni njema kabisa...
 
Last edited by a moderator:
Good morning humu ndani..

Mi naamini hii ishu ni ya muhimu saana na sitaki kuamini waliosubscribe youtube channel ya kiba ndio mashabiki pekee, Kama bado acha ushabiki maandazi nenda ka subscribe,

⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇
https://m.youtube.com/channel/UCSly...AhWERBwKHdx1C34=&hl=en&gl=TZ&client=mv-google
⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
 
Assalaam alaikum nifah, Mungu aafiki swaumu yako. Karibu katika jukwaa, Mungu atuongoze kwa hekima.
 
Welcome back nifah, nimefurahi sana kukuona tena, hope all went well with your Ramadhan
 
Last edited by a moderator:
Welcome back nifah, nimefurahi sana kukuona tena, hope all went well with your Ramadhan

Asante sana best angu mito.Hata mimi nafurahi kukuona tena hapa.
Kila kitu kilienda sawa Alhamdulillah,
Hakika Mungu ni mwema.

Pole kwa mchakato wa mgombea wa CCM naona mgombea wako hakufurukuta...teh teh
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…