kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,286
- 5,274
Mfalme,
Coco iyo coming soon n project ya b12 we clouds sio kiba
Mfalme,
Coco iyo coming soon n project ya b12 we clouds sio kiba
Naelewa, anasapoti vijana wenzie wanaojituma na wasio na nyodo. jamaa yako leo kakiri kuwa anatumia ndumba
Naelewa, anasapoti vijana wenzie wanaojituma na wasio na nyodo. jamaa yako leo kakiri kuwa anatumia ndumba
Jamaa kachelewa kweli mpaka huruma daaaa
Kachelewaje mzee, kwani mwisho wake wa dahari umekaribia???
Mbona kaanza kussuport Leo nani kamshauri too late
Kachelewaje mzee, kwani mwisho wake wa dahari umekaribia???
Kutoa support kuna vitu vinakaribia mwishoni kabsa
Babu tale ndo kasema anaendaga,kwa waganga,bhn
Coco iyo coming soon n project ya b12 we clouds sio kiba
babu tale ni manager wa nani?.?
Waliomtukana ni wapumbavu. Ni account yake na ana haki ya kupost whatever he likes.
Ndo maana uwa nasema hata hapa mitandao imevamiwa na watoto wanaowaza kwa kutumia ushuzi.
Waliotukama wapumbavu.
We nawe leo umeishiwa kalale mZee!!!
Kwan baba yko au mlezi wko akiwa mwizi n we utakuwa mwizi
wizard ndo imemlinda domo hadi mda huuu kumbe dah very sad
duu usiku mwemah naona unataka kuleta mambo ya insta hapa
So kuchelewa kwa kiba ni kukosa ndumba na sasa kaipata au,tumia kichwa cha juu kutafakari jambo na si kichwa cha chini.kwahyo wote wasio kuwa na ndumba hawafanikiwi au
wizard ndo imemlinda domo hadi mda huuu kumbe dah very sad
Kwan MTV awards zimetangazwa lini bado wiki vote ndo anapost hapo hajachelewa coco