Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

yani mashabiki wa diamond wanamtukana kinomaa huko insta hadi kapost picha zoteee kasoro ya diamond

watukane tu. hao team fulani hawana akili kabisa. sio lazima. angepost wangesema kajipendekeza
 
watukane tu. hao team fulani hawana akili kabisa. sio lazima. angepost wangesema kajipendekeza

nakwambia kiba kapost woteee halafu kasoro diamond dah ila Th Name wamemtukanaaa saaanaa mi nnavyojua kiba hakasiriki kirahisi ila leo check this one kapost hadi mejialabi video bora
 
Last edited by a moderator:
watukane tu. hao team fulani hawana akili kabisa. sio lazima. angepost wangesema kajipendekeza

check this one sasa hadi king kakasirika ila mashabiki wa kiba hawamtuka domo wanajielewa nilikuwa nasoma coment daaaa very sad
 
Attachments

  • 1436186049818.jpg
    1436186049818.jpg
    53 KB · Views: 94
  • 1436186074902.jpg
    1436186074902.jpg
    42.6 KB · Views: 86
hao mashabiki maandazi mbona mondi hakupost video ya kiba insta

sio hivyo tu baba yake dully sykes mez b walivyokufa hakwenda ila mbona hawasemi alikuwa zanzibar anakula bata na zari haendi kwenye mazishi yulee jamaa
 
tatizo ally kiba ana huruma sana...angekuwa hana utu huu ndo ulikuwa wa kutupa ile silaha ya maangamizi ya halaiki aliyofanya na mfalme mwenzake wa masauti christan bella...!!nimesikia demo kiduchu tu ni hatari saanaa!kama anaamua kudondosha ule mzigo hivi leo!utaratibu lazma uvurugike
 
sio hivyo tu baba yake dully sykes mez b walivyokufa hakwenda ila mbona hawasemi alikuwa zanzibar anakula bata na zari haendi kwenye mazishi yulee jamaa

wapuuzi hao. ndo hapo sasa. vichwa nazi
 
Waache watukane hahhahah wanazidi mpa kick king kibaaaaa wao si wanasema msanii local??? Sasa hata akimpost domo haitamsaidia saaana domo. lakin kwa nini wanataka msanii local awape promo?? Hahahahah sitaki nataka.
 
shangaa na wewe msanii local anawasumbua sana. #kingkiba ni hatari
 
wamemtukana kiba leo hadi angalia alivyo andika et siwasikii semeni ila siwasikii wamemtuka sana

Waliomtukana ni wapumbavu. Ni account yake na ana haki ya kupost whatever he likes.

Ndo maana uwa nasema hata hapa mitandao imevamiwa na watoto wanaowaza kwa kutumia ushuzi.

Waliotukama wapumbavu.
 
Upepo wa kiba ni zaidi ya Tsunami Hahahaha huko insta watu wapo wanakohoa damu tu kisa msanii local Hahahaha kiba huyu ni balaaaaaa
 
Back
Top Bottom