Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,448
- 176,426
nyimbo hazichuji kabisa kuna ule wimbo unaitwa mdogo wangu kama sikosei
Huu mbona kama nimeusahau?
nyimbo hazichuji kabisa kuna ule wimbo unaitwa mdogo wangu kama sikosei
Huu mbona kama nimeusahau?
naona unatafuta kiki we boya
nitajaribu kuutafuta. vipi lakini uko poa?
Hahaaa huyo ni mwenyeji sema kaja kivingine ni new wine kwenye chupa ya zamani.
Hahaaa huyo ni mwenyeji sema kaja kivingine ni new wine kwenye chupa ya zamani.
Am very okey yaani, sijui weye
Wanahaha hawa watu jamani!! Hii yote kisa nini? Wamuache king afanye yake.
Teh Teh...Mtani habari yako? Nani kakuchokoza?Karibu...
niko fresh. weekend naona ndo inaishia
Yeah kesho mishe mishe zinaanza tena kama kawa kwa wenue mishe zao, sie jobless tupo tu, teh teh teh.
naiwaza kesho kuamka mapema duuh. tafuta mishe yoyote
hivi chakachua ya mzee ojuang' imeshachezwa mtv???
wamemtukana kiba leo hadi angalia alivyo andika et siwasikii semeni ila siwasikii wamemtuka sana
hao mashabiki maandazi mbona mondi hakupost video ya kiba insta