Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,437
- 176,384
Hahahaaaa! Nipo mamito, niambie
Last edited by a moderator:
sio mara ya kwanza kazoea ila mpotezee tu si umeona katulia hamna mtu aliye mjibu hata kiba katoboa mwenyewe trace sio mpaka collabo ndo wanaipiga
aya chekecha chekecha ×11
Nimeskia video ya joh makin ya nusunusu imeshika namba moja mtv. Jamaa katoboa mwenyewe kimataifa bila kutegemea nigeria kama kina mwanafulani hapo tandale.
Ingekua ni flani sasa yeye ni wakimataifa blah blah kibao na show off kibao. Joh makini kanifurahisha kajitaidi mwenyewe na kafika hakuitaji kiki wala kutumia migongo ya watu.
#GoodJobKeepItUpJoh .
sio mara ya kwanza kazoea ila mpotezee tu si umeona katulia hamna mtu aliye mjibu hata kiba katoboa mwenyewe trace sio mpaka collabo ndo wanaipiga
aya chekecha chekecha ×11
sio mara ya kwanza kazoea ila mpotezee tu si umeona katulia hamna mtu aliye mjibu hata kiba katoboa mwenyewe trace sio mpaka collabo ndo wanaipiga
aya chekecha chekecha ×11
Kiba hana majigambo bana, hawez waambia mashabik wake kuwa sasa naogea sink la silver, anajua fans wake ni kina nani, domo kanyooka siku hizi ile uswahili wake wa kuponda mashabiki kaachaacha na kupost mashelf ya kichina jikon kaacha. Hahhahaa kiba anapost kazi tu sio kuonyesha sufuria analopikia n.k.
Halafu KILAZA WE MWENYEWE NDOOOOOROOOBO WEWE
Kilaza yeye na ukoo wake.
We naye unapoteaaa!!
hivi chakachua ya mzee ojuang' imeshachezwa mtv???
Nakwambiia!
Nimebanwa ila lazima nipite hapa.
Nkiwaona vibwengo kama huyu nashindwa kujizuia.
Jana mlimshambulia mtu mpaka nikawaogopa😀😀😀:thumbup:
naona unatafuta kiki we boya
Msamehe, ndio kwanzaaaa post zenyewe anazo sijui 2 humu, so anatafuta umaarufu, potezea tu, si unajua wamesombana toka insta waje wafanye wht they can do beta!!
Hayaaaa chekecha cheketuaaaaa
Hahahaaa! Dont tell me!! Mweeeh ni aibu na huruma pia.
Hayaaa chekecha cheketuaaa.
kuna watu ni vichwa nazi sana.
chekecha chekecha cheketua
Aaaah kwa raha zetu kwa taabu zao.
Twacheketua tu kwa raha zetu, nasikiliza "nichum", i love this song jamani, long time kitambo yaani.