Ali Kiba Fans' Special Thread...


Yaani hawa watu wananichekeshaga, alafu wanajiona wajanjaaaaa!! Hivi huyu boya ni lini ataelewa anapoambiwa asitag watu??
Utumbo wake akapikie ndizi hukoooo, kazi kujitekenya na kucheka mwenyewe, bora huyu binti apate bwana atulie maana hizi stress zimepitiliza.
 
Kuwa mtu mzima sio adi vu.zi lihamie kwenye paji la uso.
Jitambue acha utoto.
Usiwe una nimention popote.
NAKUCHUKIA KULIKO ATA SHETANI. SIKUPENDI KAMA KONOKONO.
jua ilo tangu leo na usini mention popote unanitia kichefu chefu tuu.
Ni hayo tuu

Mamii nakutafuta kweli, how can i get yu? Nitafute basi
 

Hiyo kauli ya sijui "wakati wake umepita" ni ya wavivu wa kufikiri na ya wanaomuogopa sanaaaaaa King, maana wanaujua moto wake, hivyo hutumia kauli hiyo kujipooza tu, na hawawezi kujua maana chuki imetawala mioyo na maisha yao hivyo wanakonda mioyo tu.
Kiba is here to stay, kama humpendi anza kuugua pole maana hamna jinsi.
 

Tayar mamy...
 

Kwahyo asiimbe mziki simply mtu flani anaimba. Hyo kauli ya kupitwa na wakati ni ya ukosaji tu kwani Kiba tu ndo msanii mbona wako wengi.
Kiba will always shine yuko talented na amekua blessed kwa kila kitu, kuanzia kipaji, sauti Mpaka muonekano.
 
Kwahyo asiimbe mziki simply mtu flani anaimba. Hyo kauli ya kupitwa na wakati ni ya ukosaji tu kwani Kiba tu ndo msanii mbona wako wengi.
Kiba will always shine yuko talented na amekua blessed kwa kila kitu, kuanzia kipaji, sauti Mpaka muonekano.

Na wanaumia hatari na progress anayoifanya Kiba now, ukijumlisha na kupendwa tunakompenda ndio kabisaaaa, kuna boya mmoja aliniuliza eti "hivi Kiba kawapa nini? Na huyo mganga wake asimuache" nikamwambia mnawaza kuroga tu kipaji chake hamkioni!!
Chuki zinawasumbua, watulie wamuache Kiba wetu afanye yake, km hawampendi si wanyamaze kwani wamelazimishwa.
Ovyoooooooo!!
 
nyie watu wanafiki sana. sometimes mnajifanya mnataka peace kumbe hamna lolote. hamna point kabisa. suburieni mconclude

Watoto akili zenu bana. Ivi kumbe mnamigogoro na ID hapa.
Ujinga.
 
Oyaaa madetective vipiiii?!!
Tunataka tumjue huyo moderator mfuta comments. Nina hasira nae manineeeer!!
Yaani nashindwa hata kukoment vitu vingine!
 
Oyaaa madetective vipiiii?!!
Tunataka tumjue huyo moderator mfuta comments. Nina hasira nae manineeeer!!
Yaani nashindwa hata kukoment vitu vingine!

Hivi kafuta tena comments ngoja nicheki. Kinachomfanya awe anafuta nini utoto mwingine bwana.
 

Nashangaaa kumpenda Kiba imekua crime kubwa sana. Huyo aliyekuuliza Kiba kakupa nini alikua anafikiria nini? Kiba nimpendeacho ni mziki mzuri, na sauti ya kumtoa nyoka pangoni.
Kiba atawasumbua bureee si ndo tunavompenda hvo alivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…