i like it haya ndo yanayowaumiza morning 2@th name
Kuna baridi jamani duu adi kero yaan
Mmmmh....
Nini sasa?
Pole kwa baridi...i wish nije hapo..tucheketuke
Ebu kuja hubby wangu lol..iapo tuu ndio ninapokupendea... nilizani ungesema uje tu sankoro
Sankoro ndio nini? ? Kama ni sankoro siji..
chekecha youtube 4days views 245,789.
kazi kweli kweli.
Yes. cute b
Kwa heshima yako...kwako sankoro natupa kuleeeeee
Tupa kule uchafu huo...
Ila ujue nini mimi nakupenda maana simu yako umejaza nyimbo za kiba sasa sijui unaamkaga na mashetani gani unaaza kumnyamba kiba
Some tyme...bhanaaa
King for real
Poa mkuu alafu ukija huku usiwr unawa quote vibaya marafiki zangu nachukiaga sana.
Ha ha...pole my
Asante ...ndo utaacha au?