Marafik wap hao?? kwanza
Wote humu ni marafiki zangu...sasa wew wa quote quote vibaya uone
Marafik wap hao?? kwanza
Wote humu ni marafiki zangu...sasa wew wa quote quote vibaya uone
Wote humu ni marafiki zangu...sasa wew wa quote quote vibaya uone
Ebu kuja hubby wangu lol..iapo tuu ndio ninapokupendea... nilizani ungesema uje tu sankoro
Yani hii comment yako imenifurahisha kwenye sehemu ya #LetLoveLeadsInOurLives . Love is everything, inaondoa kila chuki na kila ovu.
Hyo shabiki ni timu domo asijishaue bure nakwambia anayejielewa hawezi kujishaua HVO.
Sawa kidela #LetLoveLeadsInEverything .
Hii ndoa ina utata, huyo mwanaume siyooo...achana naye!
Teh teh teh😀😀😀😉
Yani wewe binadamu ni mnafikiiii mpaka shetani anakuogopa.
Yaan huyu mwanaume ananipaga mawazo sana.
Yaan anajua kwenye huu uzi ana mke lakini kila siku anafanya vituko tuu
Titamzalisha bila uchungu punguwani wahed huyo.
Usiwe unampa chakula ashike adabu yake.
sio no 1 lakini ila najua sio kweli ile kampita hadi davido ok congratulation for him#teamkiba
Mhhhhhhhh sasa huyu King alikua wapi siku zote????????
Kasubiri wenzake wamekaa kwenye game eti "The king is back...
Ali Kiba tunajua una sauti nzuri ila you were having all the time hukuweza kutumia
usilazimishe kurudi kwa nguvu just let the nature do its course.. ni sawa na sa hizi
Afande Sele arudi aanze kusema "Mfalme wa Rhymes" nimerudi" Ni kitu hakiwezekani
Kila mfalme na wakati wake..
chekecha youtube 4days views 245,789.
kazi kweli kweli.
Mkuu m nilisema naipa siku 12 then tu conclude. I cant imagine adi sahvi haijafika hata laki5. OMG
Soo bad... Afu we Avemaria ukoje wewe?? Mbona mchonganishi hivoo
""Tenda wema nenda zako
Usingojee malipo
Hii dunia sio yako, k...""
Am out
nyie watu wanafiki sana. sometimes mnajifanya mnataka peace kumbe hamna lolote. hamna point kabisa. suburieni mconclude
Nitake peace kwani tumegombana?. Its just being a fan of Diamond and am not a hater to Kiba never be. Bt I like to do some comparison btn thm thats all. so cwez kuomba peace kuna ugomvi kwani? We r all fan of wat we love wat we belive..