Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,437
- 176,388
Ndo bado sijui wiki mbili duuh waende tuu sec maana wanajaza seva kwa mashudu
Yaani hawa tuko nao sanaaaa, kama post zenyewe ndio zile!!
Ndo bado sijui wiki mbili duuh waende tuu sec maana wanajaza seva kwa mashudu
cut b katika ubora wake haya lets go ila yule c dhani kama atarudi tena ila jamani kiba anapendwa saaanaaa yani cheketua video ilivyotoka cc tumeijadili hapahapa ila wao mpaka wameweka link humu mbona hatukuwaekea link wala kuwasumbua kwenye uzi wao et Th Name Diva Beyonce atoto shida nn hawa jamaa?????
Nilikuwa nackiliza wasanii wengi nilipo pumzika mziki dimpoz, diamond, Barnabas, n wengineo kasema kiba tune citizen TV sasa ivi
cut b katika ubora wake haya lets go ila yule c dhani kama atarudi tena ila jamani kiba anapendwa saaanaaa yani cheketua video ilivyotoka cc tumeijadili hapahapa ila wao mpaka wameweka link humu mbona hatukuwaekea link wala kuwasumbua kwenye uzi wao et Th Name Diva Beyonce atoto shida nn hawa jamaa?????
Nipo poa kiafya but tangu jana nina matatizo ya ki ofic acha tuu adi nimekonda nguo zinanidondoka yaan
Ooooh kumbe unamuangalia
Good boy
😀😀😀😀😀😀 yule jamaa anajitoa copy hapo no DNA test the young unju ila kwa nn hawa team domo wanatuzarau kiasi ichi et atoto tuwachukulie hatua gani???
Uwiii unamwandikia tena kizungu? Anajulia wapi kazoea kuchunga ng'ombe tuu.
Mtafsirie bhana au acha tuu
Nipo poa kiafya but tangu jana nina matatizo ya ki ofic acha tuu adi nimekonda nguo zinanidondoka yaan
Y nisingalie npo n fans wenzako Ali kiba cjui kanywa pombe Leo
Ukiona mtu anatumia muda mwingi kukujadili ujue anakukubali na amekuzidi uwezo.
Hawa wanamkubali kiba na wanajua kiba anamnyima domo usingizi ndo maana wanalalama.
Kwan wasanii si wapo wengi? Why kila siku ni kiba anafananishwa na domo and not barnaba?

Hawa wanamkubali kiba na wanajua kiba anamnyima domo usingizi ndo maana wmanalalama.
Kwan wasanii si wapo wengi? Why kila siku ni kiba anafananishwa na domo and not barnaba?
Hahahaaaaa! Wao wana phd you know!!
Anikome na akomae asinizoee.
Ana nimention mention ananijua? Apeleke ugonjwa wake wa kifafa huko kwa team ndomo.
Mambo mamy
Ukiona mtu anatumia muda mwingi kukujadili ujue anakukubali na amekuzidi uwezo.
Hawa wanamkubali kiba na wanajua kiba anamnyima domo usingizi ndo maana wanalalama.
Kwan wasanii si wapo wengi? Why kila siku ni kiba anafananishwa na domo and not barnaba?
true watu wa karibu na domo wanasema cku ya tuzo za ktma hakulala jamaaa kwa mawazo ila wanajifanya vipofu ngoja swaumu ipite maana ni balaa
pwilo bhanaa huishi vitukotrue watu wa karibu na domo wanasema cku ya tuzo za ktma hakulala jamaaa kwa mawazo ila wanajifanya vipofu ngoja swaumu ipite tuone #abuy4realy #abuu99kiba n zabibu love