Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahahaaaa!!! Sio kwa shushu hilo jamani, alikumiss mwenzio.

tatizo kila kitu mnachukulia uteam team... Mengine mawazo ya kujenga kabisa, kama mmesoma mawazo ya dudu baya bongo5 mtaelewa vizuri...
 
hao wanaochangia ujinga wote ni team diamond team kiba hatupo toka asubuhi ndo tumeanza kujadili sasa hivi nakama huna cha kujifunza nenda kwenye uzi wa domo ukajifunze kule we mwenyewe team domo hfu unajifanya huna team

Nadhani kijibamia kina mtekenya si bure mijitu mingine buaaaana. Eti tubadilike yeye ni nani wa kutupangia masharti yake ya kiganga apeleke kwake. Atutoleee kengele zake kwenye Uzi wa kiba. Anaushauri aende angaza.
 
tatizo kila kitu mnachukulia uteam team... Mengine mawazo ya kujenga kabisa, kama mmesoma mawazo ya dudu baya bongo5 mtaelewa vizuri...

And who is talking?!!! You!!! Camoooon!
Huyo dudu baya ndio nani tena? Na kasema nn, kuhusu nini?
 
Anikome na akomae asinizoee.
Ana nimention mention ananijua? Apeleke ugonjwa wake wa kifafa huko kwa team ndomo.
Mambo mamy
cut b katika ubora wake haya lets go ila yule c dhani kama atarudi tena ila jamani kiba anapendwa saaanaaa yani cheketua video ilivyotoka cc tumeijadili hapahapa ila wao mpaka wameweka link humu mbona hatukuwaekea link wala kuwasumbua kwenye uzi wao et Th Name Diva Beyonce atoto shida nn hawa jamaa?????
 
Last edited by a moderator:
Yaani hiyo chata Kiba alilenga mlemle, kajifotoa yaani.

😀😀😀😀😀😀 yule jamaa anajitoa copy hapo no DNA test the young unju ila kwa nn hawa team domo wanatuzarau kiasi ichi et atoto tuwachukulie hatua gani???
 
Last edited by a moderator:
Nadhani kijibamia kina mtekenya si bure mijitu mingine buaaaana. Eti tubadilike yeye ni nani wa kutupangia masharti yake ya kiganga apeleke kwake. Atutoleee kengele zake kwenye Uzi wa kiba. Anaushauri aende angaza.

si wangemshauri domo amsamehe baba yake kwanza halafu ndo aje huku kitushauri kidogo tungemwelewa na aache kutembea na bibi zake
 
And who is talking?!!! You!!! Camoooon!
Huyo dudu baya ndio nani tena? Na kasema nn, kuhusu nini?

Uwiii unamwandikia tena kizungu? Anajulia wapi kazoea kuchunga ng'ombe tuu.
Mtafsirie bhana au acha tuu
 
Attachments

  • 1435951098954.jpg
    1435951098954.jpg
    27.1 KB · Views: 64
Nilikuwa nackiliza wasanii wengi nilipo pumzika mziki dimpoz, diamond, Barnabas, n wengineo kasema kiba tune citizen TV sasa ivi
 
Back
Top Bottom