Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

kwa hiyo umefurahi king kumtaja diamond na wakati ndo aliyemtoa kimziki ndani ya sharobaro record kwa nn asimjue #kiba junior #aby dady

Bob junior ndo kamtoa diamond sio kiba sema kiba n bob Jr n frnds toka long time kariakoo
 
Hahaaaaa huyo kashakoma tayari kwa hilo shushu inabidi anywe juice ya limao na ukwaju juu.

Akanye mbele huko eti anajishaua eti tunaendekeza ushabiki adi kweny mambo mengine.
Ivi kuna mnafiki kama yeye huku duniani.
Mbona asiniite kwenye nyuzi nyingine zisizohusu ushabiki?
 
Ndicho hicho ninachokisemaga, ndio maana wanafanya juhudi sanaaa kupunguza atention yetu kwa Kiba, lets not give them that room now, lets focus on wht brought us here.

Hayaaaa chekecha cheketuaaaaaa.

Duu sijalipia king'amuzi sijui nitamwonaje king...
Wanafiki mliozoea ku capture screen kuhusu nimesemaje na hii chukieni mkanijadili.
 
Bob junior ndo kamtoa diamond sio kiba sema kiba n bob Jr n frnds toka long time kariakoo

we kiba ilikuwa anahusika kwenye studio ile sasa unataka kuleta battle ya kijinga bora tuache hiyo kitu mana tutafika mbali buree #aya chekechachekecha #
 
cut b katika ubora wake haya lets go ila yule c dhani kama atarudi tena ila jamani kiba anapendwa saaanaaa yani cheketua video ilivyotoka cc tumeijadili hapahapa ila wao mpaka wameweka link humu mbona hatukuwaekea link wala kuwasumbua kwenye uzi wao et Th Name Diva Beyonce atoto shida nn hawa jamaa?????

wanatafuta kick hao kupitia uzi wa #kingkiba hawana jipya hao
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom