Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Hahahaaa! Hana team jamani, anataka kujifunza kuchekutua jamani
Hayaaa chekecha cheketuaaaa!
hahahaha ataweza kweli?
Hahahaaa! Hana team jamani, anataka kujifunza kuchekutua jamani
Hayaaa chekecha cheketuaaaa!
Habari za mda huu wapendwa
Ewaaaaa! Hapo sasa lazima atakuwa amepata cha kujifunza kwakweli, km sio basi tena!!
Bogus tu ka wengine eti timu ya pili suahamie huko sasa aje na I'd yake iliyozoeleka sio hii. Tena akome kuleta mizivu ka steel wire ya mchina kwenye uu Uzi.
Ngoja mie nichekechue zangu.
Weeeeh wanajua hatari, thats wht they do all day long
#chekechavibes
Now yo speaking their language lazima atakuwa amepata cha kujifunza hapo.
Huyo mmoja namfahamu kafanana na KIBA balaaa aisee huilizi wala haina shida ya DNA hapo. Hao wengine siwajui.
Hahahaaaa!!! Sio kwa shushu hilo jamani, alikumiss mwenzio.
Usiwe una ni mention kwenye ushenzi
Goodnight
tatizo wanajifanya wa busara kumbe mabwege tu. tuenjoy na chekecha video my sister atoto
Huyo wa kulia ni unju si ndio eeh?
Mtu anaye criticize kitu its obvious huwa anakuja na wazo nini kifanyike. Sio anaandika IPP(International, Pumba Point) kwa unafiki. Le mbulularazi.
Hahaaaa that's my cute b wamekuzoea vibaya eeeh. Wakukome kabisa. Hahaaa ka namuona huko aliko USO ulivomshuka na msawagiko wa hatari.
yap mtoto wa king wa roma na wa marlow wa kwanza kushoto kati roma they are friend
Nimegundua humu ndani watu wanakesha kwenye huu uzi na hakuna cha maana wanachoandika tofaut na kule upande wa pili at least unawezajifinza kitu......Badiliken jaman wengine hatuna team tunaingia ili kujifunza kutokana na comments zenu.....Nampa gwala Abou Seydou anaandika vitu ambavyo ukivipitia hutok kapa.
Ni hayo tu jamani msijenge chuki ni mtizamo wangu tu.
Apeleke ujinga wake huko.
Unafiki tuu unamsumbua
Nimegundua humu ndani watu wanakesha kwenye huu uzi na hakuna cha maana wanachoandika tofaut na kule upande wa pili at least unawezajifinza kitu......Badiliken jaman wengine hatuna team tunaingia ili kujifunza kutokana na comments zenu.....Nampa gwala Abou Seydou anaandika vitu ambavyo ukivipitia hutok kapa.
Ni hayo tu jamani msijenge chuki ni mtizamo wangu tu.
yap king himself