Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,421
- 176,356
Hawawezi kujadili wenyewe mana wanashindana plasi kujitoa ufahamu. Ni vzuri wawe wanajadili wenyewe sie mahater tuwaache walifikiri na sie tutaanza kuponda kimakusudi ka wao kwa kiba poleee zao.
Mie nina muda wa kucheketua tu na sio wa upashukuna, so kisichonihusu mtu asinihusishe nacho kabisa.