Ali Kiba Fans' Special Thread...


Mkuu mbona unacheka sana? Kila baada ya neno moja hahahaaaa sijui nini..hhahahaaaa.
Nini shida?
 

Nitaongea nae nitaongea naee...
Lol kuwen na huruma bhana sio kwa vichambo ivyo
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahah so sad
 
Last edited by a moderator:
Eti mtu anajitetea na joining date wakati boguz kabisaaa, anadhani joining date ndio kitu gani?? Mie nilikuwa nawaheshimu watu waliojiunga jf muda mrefu maana wanajitambua, kumbe na mamluki wamo aisee!!

Hahahahahhh truth hurts
 
Na ujiandae kuongezwa kwenye list ya wanaochukiwa maana yule mazigazi ya chini anawashwa hatariii!

Hahahahahahah japo sijadili na wewe but naona kama komenti zangu humu zimeleta side effects kwenye ubongo wako na wewe pia hahahahah so sad.
 
Poa basi nenda kwenye uzi mwingine basi na sisi tujadili mambo ya kifamilia...

Haya mkuu kwa heshima yako kwa siku ya Leo Hi ndio post yangu mwisho humu

Nakutakia siku njema yenye baraka.

Amani iwe nanyi nyote .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…