Ali Kiba Fans' Special Thread...

diamond yuko tandale anazibua mitaro ili aepuke mafuriko.,dogo anaongeza PR yake

Mbona unakua Kama uko shimoni? Yaani hujui kua Diamond yuko Nigeria kwa show ya tarehe 3July. Au ndio kibri....Acha umazwazwa bana!
 
Mbona unakua Kama uko shimoni? Yaani hujui kua Diamond yuko Nigeria kwa show ya tarehe 3July. Au ndio kibri....Acha umazwazwa bana!

unasumbuliwa na tatizo la kupiga kiroba na kushushia utumbo wa kuku,ulichoandika humu ni utumbo
 
Hongera kiba kwa ku release video!

Though imechukua muda, ila imetoka..

Gentleman comment.

Tulimpa plessure na tukamkosoa na akasikiliza ushauri wetu namsifu kwa kuwa msikivu.

Kiba alitaka mwezi wa Ramadhani upite ndio aiachie video lakini nguvu ya umma immembadili mawazo.

Nampa hongera za dhati kabisa video iko safi na katika ubora wake na mimi ni proffesional kwenye sekta hiyo ingawa sifanyi kazi hizo kwa sasa.
 

Aiseeehhh!!??
 
Nimenyonga vitu haswaa yaani. Kwendraaaaaaa hujui maana ya mauno?
Kwi kwi kwiiiii ngoja ikiwekwa nitakuambia ukajioneee

unajua kibani habari nyingine nimeenda u tube nikaona nyimbo mpya ya mr blue na navio lakini jina wameandika cheketua ila video sio ni ya blue ile mpya wanataka wapate viewers kama siku ile walivyobadilisha code za tuzo
 
Safi Th Name. Ebu niimbie nicheketue mimi.


Aya chekecha

Chekecha (x11)

Aya chekesha cheketua cheke chekecha cheketua -cheke chekesha cheketua cheke chekesha cheketua cheke

Yeah uuh cheke chekecha -aah heyiiii-

kama nakuona vile we mtu hatari sana
haya chekecha chekecha cheketua
twende sasaaaaa
#chekechvideo
 
Last edited by a moderator:

Umeongea point dear walivoona video za u tube wakatamani na video yake iwe ya kukata mauno vibaya hadharani. Nashukuru kiba alikua mjanja hakuweka hayo mauno ka ya khanga moko mana ni kinyume na maadili na hapo pa kuchekechua pasingeonyeshwa.
 
Sasa hapa unashangaa au unauliza? Unafahamu matumizi ya hizi alama? Hii hapa ! na hii hapa ?
tizama hivyo vibint,.. vinalike hata pumba. Em nipe kwa kifupi whats up with cheke. maana sikuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…