Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,174
- 26,912
hahahahaaaaa ngoja nimsaidi@atoto huyu mtu alishasemaga hampendi nifah kisa aly k mwenzie akamjibu hivi"yupo kwenye mfungo"
hvyo bwana mazigazi km unasahau mi nakumbuka sana
nilikushangaa sana thar day kiukweli kabisa...
fake id zisikupe presha hvyoo
byeeee na karibu tena
Khaahaaahaa nimeona Mdakuzi kawapa nondo
Lakini wanagwaya kuzielewa
Wanafurahisha sana
Suti zilikuwepo tangu karne zilizopita
Wao wameziona kwa Kiba tu 2015!!
Teh teh jamii forum kuna vioja
Umenipuuza wakati umeniquote!! Like serious!!! Eti swaumu wht is that maybe?? Ulodandia treni hujioni au hujisomi uko wapi!!! Boguz!!!
ulijuaje yani msukule mie nimekufa nyang'anyang'anyaaaaaaaaa....
nini unataka...!!!!!jamani napenda kua msukuleee...!!!
Kwa taarifa yako kwa kanuni ya uandishi kuchanganya Caps ni dalili ya makelele, upper case na lower case zina kanuni yake katika uandishi.
Usipolitambuwa hilo kwanza ni nonsense at all whatever you shout here.
Argue don't shout.
afu bubu na kiziwi pia...!!!
Matola mkuu hao wanajua sana unajichosha tu waache hao ni mahaters mtu et aliona kipande wakasema video mbaya hizo ni akili kweliKwa taarifa yako kwa kanuni ya uandishi kuchanganya Caps ni dalili ya makelele, upper case na lower case zina kanuni yake katika uandishi.
Usipolitambuwa hilo kwanza ni nonsense at all whatever you shout here.
Argue don't shout.
Lavi yuuuu mpaka naumwazzzz hahahahah u know
Kwa taarifa yako kwa kanuni ya uandishi kuchanganya Caps ni dalili ya makelele, upper case na lower case zina kanuni yake katika uandishi.
Usipolitambuwa hilo kwanza ni nonsense at all whatever you shout here.
Argue don't shout.
Matola mkuu hao wanajua sana unajichosha tu waache hao ni mahaters mtu et aliona kipande wakasema video mbaya hizo ni akili kweli
Yaani huyu bibie ni bongeee la ndoroboooo kwelikweli, lazima achukie huwezi jua alikuwa anamvizia Mdakuzi to her suprise akakuta nifah kamuwahi, sasa chuki inamtafuna tuuuu!! Unamchukia vipi mtu humjui? Boguz
atoto umeona alichoandika mazigazi kumbe wakija huku wanafuata nyie sasa si waseme kama wanafuata ma princess
kumbeeeeeeeeeee......
Alafu wakatulazimisha tuipigie kura kweli!!! Hivi ule nao ni wimbo!!!