Ali Kiba Fans' Special Thread...

Video haina ubora kaka....ila ni mahaba yenu na kiba tuu ndio yanayowafanya hamfunguki akili....
Poleni kwa kukumbatia huu ujinga

Hayaaa chekecha cheketuaaaaaaaa
 

Nipotezee tu sina muda na mtu asiyejitambuwa. Chapa lapa.
 

Kweli waga kuna vilaza ila mtu asipoelewa na hapa basi huyu atakuwa technician KILAZA.
 
Jamaniii mi nataka saule kama mapenzi gorofa yamejaa Kariakoo

Mi nna mapenzi tele kama kwetu kule -

Wanao nitaka ni wengi ila kwako nyang’a nyang’a nyang’a

—–

Nini unataka mi nina miujiza nini unataka-

Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka-

Nikugeuze Princess sema nini unataka

Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa

Nini unataka mi nina miujiza nini unataka-

Nikugeuze Princess sema nini unataka

Siamini yaani siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini

Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini

Aya chekecha

Chekecha (x11)

Aya chekesha cheketua cheke chekecha cheketua -cheke chekesha cheketua cheke chekesha cheketua cheke

Masia Uluso kitaa Abu Daddy-

—–

Penzi alinipa mama nami leo nakupatia tena sitaki lawama penzi kiapo hakuna-

Mi ntakupenda sana mpaka wivu utakimbia nami ntalia na wewe mimi kwako nyang’a nyang’a nyang’a-

Nini unataka mi nina miujiza nini unataka-

Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka-

Nikugeuze Princess sema nini unataka

Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa

Nini unataka mi nina miujiza nini unataka-

Nikugeuze Princess sema nini unataka

Siamini yaani siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini

Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini

Aya chekecha

Chekecha (x11)

Aya chekesha cheketua cheke chekecha cheketua -cheke chekesha cheketua cheke chekesha cheketua cheke

Yeah uuh cheke chekecha -aah heyiiii-
 
Heheheeeeeeee.
"Kama ni macho ya blueray sema nini unataka" inabidi video ieditiwe ayo macho yaonekane

Hahahaaaa! Uwiiii hayaaa chekecha cheketuaaaaaaa, yaani napataje raha sasa
 
Lazima kiba tumpe challenge..
Kwa nia nzur tu ili aweze kuzid piga hatua

hahahaha.... baada ya kuona maji ya moto yameshindwa kuunguza nyumba sasa inabidi tu uwe mole...sasa utafanyaje dua la kuku limeshindwa kumpata kuku... hata mwana mwanzoni kulikuwa na comment za matusi ila walichoka na sasa ukienda kutazama comments za watu wenye akili tu zinasifia.... tatizo huwa mna panic
 

Hongera
 

Yaani we mtoto umenipatiaaaaa! Hayaaaa chekecha cheketuaaaa
 
Eti eeeeeh! Haya chekechaaaa cheketuaaaaaaaa



Aya chekesha cheketua cheke chekecha cheketua -cheke chekesha cheketua cheke chekesha cheketua cheke

Yeah uuh cheke chekecha -aah heyiiii-
 
blogger am talking about this.
Hiyo treni ni mpya kabisa inashepiwa kizamani kwa akili zako ndogo huwezi kuyajuwa haya.

yeah niliona movie moja ya kihindi inaitwa barfi.... ni filamu ambayo ilitakiwa ionekane ni ya miaka ya 70 japo ime ektiwa 2012....nilitazama behind the scene... ndo wakawa wanatengeneza mazingira kama hayo... mpaka treni...wakawa wanajenga nyumba.. mavazi... n.k..any one akatafute Barfi kutoka Bollywood akaone
 
Last edited by a moderator:
Alafu lov unanikosea kikubwa sana.
Ndo nini unaleta fujo ukwen?
unashindwa kuwaheshimu ata shemeji zako?
Acha izo bhana si unajua siwezi kukulabulia maneno?
Basi stop it

Mmmh i get u.....
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Challenge na roho ya kwanini!
Unachallenge kila kitu?.Unaponda tuu, unakashifu, unasiliba, unakosoa!
Hivi hujioni kuwa una matatizo?
Mpaka mnajiapiza kuwa Kiba hawezi, hawezi!
Mxiiu.....
There is a thin line between love and hate.
Nawaona watu wapo obsessed na mampungufu ya kiba mwanzo mwisho.
Video nzuri sana ina viwango vya kimataifa .
 
Basi baasii, chukua glass ya maji basi tuliza koo.
 

Very very very obsessed, acha awavuruge tu si ni viherehere vyao kumshobokea, na watasand sana, Kiba mbele daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…