Ali Kiba Fans' Special Thread...

Sawa tu. Apeleke jukwaa la LUGHA au ELIMU.
Tulia taratiiiibu wataelewa tu, ila mie nilimwambia mdakuzi hivi vichwa hewa hawawezi elewa, ona sasa washaona ni notes, hahahaaaaa kudeal na hawa watu ni taabu ila sasa tutafanyaje ndio watz wenzetu sasa!! Tuwavumilie tu.
 
seriously done deal ila kiba sijui yupoje alipotuma hicho kipande insta kiba alimaind chek hapa majibizano

Iyo n what's app ya cabo snoop n msanii Casper nyovest kutoka south Africa ndo wanataka kutumiana collabo bhn sio kiba
 
huyo chriss brown anayetajwa ni chriss brown wa Congo au Sudan??? (emphasis supplied)

Huyu pwilo ana wadanganya sn wenzake n story zke za kujitungia inabidi akafanye kazi kwa shigongo
 
Mtani una roho ya paka khaaaaa! Unazimia lkn unazinduka tena mie nikajua nishapata safari ya kusindikiza mtu nikale na wale wadudu.
Teh Teh....
Frankly speaking hiyo collabo ya Kiba na Bella naisubiria sana maana najua itakuwa moto sana maana Bella hakuwai kuniangusha kabisa....!
 
Teh Teh....
Frankly speaking hiyo collabo ya Kiba na Bella naisubiria sana maana najua itakuwa moto sana maana Bella hakuwai kuniangusha kabisa....!

Ila Kiba aliwahi kukuangusha mtani?? Kwahiyo hapo wewe unamsubiri bella tu!!!
 

Hahahahahaha usiwafanyie hivo mkuu, unataka stress za video mbovu wazitoe vipi hahahaha hawajui kama hata juacali hawezi kumuomba collable kiba coz anajuwa hamna kitu lakini chibu wanamsumbua kinoma yani mpaka kafunga geti la maombi... Tatizo nyota

afu ilikuwa mil 637 hivii, sasa na video za mil 8 sijui mikwanja hio itatokea wapi hahahahaha
 
Ila Kiba aliwahi kukuangusha mtani?? Kwahiyo hapo wewe unamsubiri bella tu!!!

Kwenye swala la Sauti hakuwai kuniangusha hapo amekutana na fundi mwenzie...sina doubt yeyote na huu wimbo!
 
Nadhan kwa jina hilo hilo la uzalendo inabd tuwape sapoti wasanii wote wanaojitahid kutoboa nje ya mipaka.

Kiba anapigwa Trace, tumpe sapoti, Doamond pia, lets keep hizi mambo za kuangushana na kupondona humu humu ndani bt when comes to nje tusimame pamoja

Ni kiswahili chetu, nchi yetu so tuwape sapoti vijana wetu na hata wanapokosea ni kuwashaur kwa upendo.

Ofcourse tunafaidika na hiz competition ,sababu zinafanya wajitutumue na kujituma zaid bt we have to keep in internal zaid.
 

Ha ha ha Matola unaongea nini wewe? Ustake kutetea vitu vya ajabu ajabu kubalini ukweli ile video ali k kaichemka.

anyway inaweza isiwe kosa lake moja kwa moja but ni kosa la director kw sabab yaweza kua kiba alitoa idea nzuri ya video ila director kashindwa kumeet vile viwango vya hiyo idea.

kosa kubwa pia la Kiba labda ni kupokea video na kurealease hata km video haku ipenda hpa ieleweke kwamba sina uhakika km kweli Kiba haku penda ubra wa video.

kama kweli alikua anataka video iwe na materials za kizamani ni sawa kabisa but kwa nini yeye avae suti /mavazi za kisasa? (suti,kofia,jinzi,raba,moka sweta,miwani nk) vyote vile havi muonyeshi katika hali ya uzamani.

kama ni kutaka mandhari ya kizamani cheki video ya "H-art the band wimbo wa nikikutazama" very simple video but ina vutia kuiangalia sana tena sana na ina muonekano bora wa kizamani zamani.

Tukubali ukweli cheketua kachemka labda yaweza kua director kamuangusha ila katika kumbukumbu yangu Kiba hajawahi kufanya video kali hata mwaka mmoja.labda ya mwana kidooogoooo.
 
Last edited by a moderator:
Daaah kweli kituko video yake sawa na ya mume wa shilole mziwanda.ti hii mpya mabele. Itizame iyo ndio utajua kacopy na kupaste tu
 

TATIZO SIO DIRECTOR QUALITY IPO POA NDIO MAANA HATA TRACE WAMEELEWA..

TATIZO KILICHOPO NDANI NDIO MADUDU KABISA INAHITAJI MOYO WA CHUMA KAMA WA TEAM BICHWA KUANGALIA MPAKA MWISHO WA VIDEO NA KURUDIA

Bora hata bilima ya nuh mziwanda, ndio maana nasema hivii bila bifu huu upuuzi hata tusingeongelea hapa wala kupoteza mda wangu kuangalia youtube, BORA HATA ANGEENDA KIDEGEMBYE AKA SHOOT NA CAMERAMAN WAKE ABDUKIBA KAMA ALIVYOMBEBA AKAMPIGE PICHA MAREKANI
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha povu la kutosha limewatoka leo
 
Haya wadau wanasema,hiviiii
 

Attachments

  • 1435726565606.jpg
    50.3 KB · Views: 120
  • 1435726588128.jpg
    55.6 KB · Views: 117
  • 1435726602338.jpg
    41.7 KB · Views: 113
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…