Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

So what?
Tunajifanya kwa raha zetuuu! Karibu tuungane katika kujifanya kwetu hatuoni

Hu huu huuuu😝😝😝😝😋😋😋😋😋😋😋
 
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=873254
Ali Kiba ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi
Msijifanye hamuonii
Maana kwenye thread za diamond hua mnajaanutafikiri mnagawiwa pesa huhuhuuuuuhuuu king hana makazi jamani ule mchango Matola ule mchango tumungozee king apate makazi jamanii na ile timu yake ya mpira

Yani incase hujajua, hapa jf mtu ana uhuru wa kuchangia habari yeyoteee bila hofu.
Vilevile huwezi kumlazimisha mtu achangie habari ambayo anaona hana cha kuchangia au hana interest nayo.
Zaidi itakuwa ni uchakubimbi wako tuuu...
 
Last edited by a moderator:
We cute uliwanyima nini hawa watu??? Maana wasichana kwa wavulana wanakupapatikia hatari, sio bure kuna namna, sio vzr ulichowafanya wenzio haiwezekani wakuattack hivi hata usingizi hawalali wanakuwaza tuuuuu, utafanya watu wakane jinsia zao sasa!!!

Mashankupe huwa hawana sababu ya msingi ujue! Ni kama nzi tu.
 
Hu huu huuuu😝😝😝😝😋😋😋😋😋😋😋

Mwone kwanza, ndio maana walikamata device yako usiingie jf.
Naona umekonda hapo
 
Mashankupe huwa hawana sababu ya msingi ujue! Ni kama nzi tu.

Mweeeh!! Aibu kwakweli, hv insta na fb zimefungwa??? Au ac za kuvamia inst zimeisha wameamua wahamie huku!!! Wao kila mahali ni kujivua tuuuu, usijali nina upako naendelea kuwaombea hilo pepo lazima liondoke
 
We cute uliwanyima nini hawa watu??? Maana wasichana kwa wavulana wanakupapatikia hatari, sio bure kuna namna, sio vzr ulichowafanya wenzio haiwezekani wakuattack hivi hata usingizi hawalali wanakuwaza tuuuuu, utafanya watu wakane jinsia zao sasa!!!

Yaani kwa kweli sielewi yaani hawali hawanywi ni cute b tuu apo ni fake id je ingekuwa ni mimi kweli.
Wananishangaza sana hawana cha kufanya
 
Yani incase hujajua, hapa jf mtu ana uhuru wa kuchangia habari yeyoteee bila hofu.
Vilevile huwezi kumlazimisha mtu achangie habari ambayo anaona hana cha kuchangia au hana interest nayo.
Zaidi itakuwa ni uchakubimbi wako tuuu...

Thread za diamond hua mna interest nazo etiii au huo si ushangingii na uchakumbimbi wenu
 
Mweeeh!! Aibu kwakweli, hv insta na fb zimefungwa??? Au ac za kuvamia inst zimeisha wameamua wahamie huku!!! Wao kila mahali ni kujivua tuuuu, usijali nina upako naendelea kuwaombea hilo pepo lazima liondoke

Ivi hao team kukurrupuka ni naniii aliyewaloooogaaaaa?
In gwajima voic
 
Дабы с головой. Я очень тебя люблю

Mmmh,kwahiyo huu ndo mchezo wako.

Mi na wewe basi!
 
Ой! Ой! Блин!!! Ты точно меня любишь?

я так тебя люблю ... но вы попробуйте избегать меня, потому что я слишком грустно тонкий это?

Ради что ты влюблена!
Ngoja niondoke manake nishaanza kuchakachua uzi wenu.

Haaaaaa... cute b!! PM yako inafikika kirahisi? Мне же интересно блядь!

Дабы с головой. Я очень тебя люблю

Что делать, если я скажу, я тебя люблю в сексе?
Poa mkuu tutakutana kwenye nyuz nyingine.

Удачи....!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom