Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Eti mtu unajisifia kabisaaa eti wewe mshari, hivi una akili timamu kweli!!! Nitamtafuta gwajima afanye maombi maana pepo kigodoro anasumbua sn watu

Yani nijisifu kama hiviiii
"Mimi ndio bingwa wa kunya kunya! Hunifikii kwa matusi, ntakutukana mpaka ukimbie jf, mimi bingwa wa kuchambwana! Nachambwa mpaka nahara! Huniwezi wewe mjingajinga! Nna matusi mapya na mazito! Kmamaaeee, kalale urudi utanikuta! Hapa ndio home kwangu!"
Kama hivi yani, afu napata tuzo ya heshima kwa niaba ya waheshimiwa!
 
We mtoto nitakuombeaaaa, hujui leo nina upako!! Teh teh teh teh
 
Kwa kiba upako ni lazma hahahqaaa watu na mahaba yetu atiiii.
Ivi mamy geniveros ndo amefungiwa adi leo?

Usiniambie alipigwa ban!!! Mwe mwe mwe mweeeee, sijui niandamaneeee maana nimemmiss
 
Last edited by a moderator:
Shem nimemfata my atoto., nimemmisi mbaya. Ila naona hapa sipawezi, mnatimua vumbi si kawaida...

We Eli79 usipopaweza royal family utapaweza wapi sasa kwa mfano, we mdanganye tu cute b kiwa huna team wakati mie naijua team yako, au umesahau cku ile pale nanii ulinidokeza?? Unadhani nakupenda hivihivi???
 
Last edited by a moderator:
Yani nijisifu kama hiviiii
"Mimi ndio bingwa wa kunya kunya! Hunifikii kwa matusi, ntakutukana mpaka ukimbie jf, mimi bingwa wa kuchambwana! Nachambwa mpaka nahara! Huniwezi wewe mjingajinga! Nna matusi mapya na mazito! Kmamaaeee, kalale urudi utanikuta! Hapa ndio home kwangu!"
Kama hivi yani, afu napata tuzo ya heshima kwa niaba ya waheshimiwa!

Uwiiiiii umenichekesha jamaniii hahahaaaa
 
Usiniambie alipigwa ban!!! Mwe mwe mwe mweeeee, sijui niandamaneeee maana nimemmiss

Ndio mamy alipikwa ban ile siku ana argue na kimbley maskini wote wakapelekwa lupango nimewamisi sana jaman na Mrembo by Nature nae looh sijui wamepewa muda gani jaman na muuza njiwa nae.
 
Last edited by a moderator:
We Eli79 usipopaweza royal family utapaweza wapi sasa kwa mfano, we mdanganye tu cute b kiwa huna team wakati mie naijua team yako, au umesahau cku ile pale nanii ulinidokeza?? Unadhani nakupenda hivihivi???

Girl, huku nimepita ili nikuchum afu nisepe zangu. cute b kaniomba niondoke asap, mimi ni #team-no-team ...
 
Last edited by a moderator:
Shem nimemfata my atoto., nimemmisi mbaya. Ila naona hapa sipawezi, mnatimua vumbi si kawaida...
Дабы с головой. Я очень тебя люблю
 
Last edited by a moderator:
We Eli79 usipopaweza royal family utapaweza wapi sasa kwa mfano, we mdanganye tu cute b kiwa huna team wakati mie naijua team yako, au umesahau cku ile pale nanii ulinidokeza?? Unadhani nakupenda hivihivi???

Hahahaaaa huyu ni wetu hatupi tabu .
Dia nimeenda resi kwenye kukuandikia umbea wa kule kweny ule uzi nikakuta baby nae yupo bize na ac so ngoja nipike kwanza alafu nitakucheki.
Ama neneee
 
Last edited by a moderator:
Ndio mamy alipikwa ban ile siku ana argue na kimbley maskini wote wakapelekwa lupango nimewamisi sana jaman na Mrembo by Nature nae looh sijui wamepewa muda gani jaman na muuza njiwa nae.

Hiyo argument sikuiona jamani, duuuuh shikamoo ban
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom