Jamani mna kesi ya kujibu huko nje, mbona mnajifungia huku.
Kesi gani? Nje wapi? Kesi ya nani sasa, kwani kuna mtu ameibiwa tuzo? Au kuna watu ulevi wa kilimanjaro tangu siku ya tuzo adi leo upo kichwani.
Basi waambie wasigombane ovyo tuzo haikuwa bahati yao waache kulia lia mimi nipo bize sitaweza kufika huko kwenye kesi kwa leo.
NA UACHE USHANKUPE. Mtu mzima hovyooo