Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Na ana kiherehere hatari, dawa kumpotezea tu
Jitu zima hovyo na hapo haji na I'd iliyozoeleka. Njia nzuri nikulipotezea kabisa kumu endekeza atajiona.
Na ana kiherehere hatari, dawa kumpotezea tu
Hahahaaaaaaa!!! Acha watukane bwana weee kwani gharama gani?? Waite majina yoteeee as long as hainiongezei wala kunipunguzia chochote let them be, ni mpuuzi tu ndio hukimbilia matusi km defence yake, kwani kuna tusi jipya basiiii na hawajaanza leo, we vile vichwa ukikaa kuviwaza hata chizi atakushangaa, waache watukane ila waishie tu huko na matusi yao, huku hatutaki tu hizo janaba zao tafadhali, wauheshimu tuu huu uzi maana hauwahusu, hii ni kwa walee wooooteeeeee ambao hata ajizuie vipi atawashwa tu kuingia humu, sasa tafadhalini najua heshima zenu mliacha tumboni mwa mama zenu so shida zenu piteni mkamalizie hukoooo kwa watu wa typ yenu, hii ni the royal family, soma pita vileee maana najua humu ni mtakuja lazima mpite.
ndio mana mi sikuwajibu ila huku wasije wanajifanya wanachangia kumbe wanafiki tu mi ckutaka malumbano nao wala ckuwajibu ila huku hatuwataki simple tu na nawajua wote waliotutukana wakija ntawaambia cc hatutaki unafiki kwani shida iko wapi c wana uzi wao #vote for davido instead of domo keep on voting all we are African support good misic #vote eeeeeeee
please voteeee for davidoo voteee for yemi alade just ignore domo#campain manager
Huyu katoa mpya, nilizan anachukiwa Diamond tu kumbe hata Vanesa
Nitajie kuleee
Anaongea pumba tuu nimejaeibu kusoma mara mbili anamaanisha nini ata sijaelewa. Yule dada sijui kaishia la 5 C duuh sitaki kuamini kama ana elimu ata ya la saba yule. Anaandika kama anaruka ruka naanzaje kumwelewa? nifah ndo anamwelewaga shoga angu mie akuuuuu.
Apo anangoja aje asapotiwe na ile minonkho miwili ambao kazi yao ni kujichekesha chekesha
Mkuu ndiomana nimeamua kuwapotezea kule vichwa vigumu hawaelewi kabisa.
King anasema hii ngoma tayar yani DONE DONE DONE kiba ndani na bella sauti zote tamu ama neneee
Vichwa nazi kabisa.
Le madebe matupuzz!