Ali Kiba Fans' Special Thread...

cute b this is special dedication to u
Raindrops-2Face
peterchoka nimeusikiliza loooh una ujumbe murua
" All them wey bin advise me, wey talk to me truthfully
See I no have no time for no hypocrisy
Have no time for the people that treat dem a minds in my matter eh
I know some people will say some things that will cut like a knife
They make to want to dey mara eh
Making me feel like a murderer
See, what is it you want from me
What is your expectation
What is it you feel
What is it you think about me
What is your imagination
How do you see me
As I am God's creation, but I am not the only one........
" thank you sou much
 
Last edited by a moderator:
k 4 real,wenye news yoyote kazi ipi inafuta mtujuze,wengine tunasubir kwa ham good music
 

Ngoja tumalizane na hili swala la Davido na mtv.
Moyo wangu umegoma kabisa.
 
Ngoja tumalizane na hili swala la Davido na mtv.
Moyo wangu umegoma kabisa.

Wanafiki hao acha tuu. Kama yule basenbaner yule ptuuuuu mamy kama mbwai iwe mbwai wangoje huko kuvote paishe ndo waje waombe kumaliza tofauti zetu. Mi panya buku ya kufa mtu yanang'ata huku yanapuliza upande wa pili na nimeliona hilo.
Sijui wanaume wa upande wa pili wana mapungufu gani jaman yaani ngachoka
 
Mimi mzima kabisa maisha yanaenda.
Jana mimi na atoto tulienda kufturu na king mwenyewe hahahaaqw

Hahahaaaaa!!! Yaani wasubiri tumalize mfungo watafurahi na roho zao, kwasasa tumpe Mungu nafasi yake huku tukiendeleza mapambano dhidi ya manyang'au wanaoua tembo wetu,
#popitinnnnnnnn
 
Last edited by a moderator:
Ngoja tumalizane na hili swala la Davido na mtv.
Moyo wangu umegoma kabisa.

Hahahahaaaaa!!! Eti moyo umegoma!! Washakuchafua eti mamii, wasubiri hili liishe then tutaanza upya ama neneeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…