Emagine mpaka mtu na akili zake timamu kabisaaa(kama sio za viroba) anatuwekea na shots zao wanazotukanana huko ig na hao mahawara zao walioachana, yaani hawa watu alowaroga kafa kwakweli maana kwa uchawi wetu mzito tulonao haturogi watu wa hivi, they r not worth it.
aaaaaaah mkuu, kwani na kiba yupo?? tutaanza ugomvi tena na team kiba... wafungulie thread tuwajadili wananiudhi kinoma yani na mwenzao ommydimpoz wanafki kweli wale..
Na akisema karudi kukalia kiti chake ambacho kilikuwa hakijakaliwa tatizo liko wapi?? Ofcoz its true nani alikikalia? Hebu niambie ni nani anaweza kuvaa viatu vya Kiba??
Tena ni kuonyesha kwamba yeye ni mwanaume na anajiamini bwanaaaa, maana kamwee haitokaa itokee kuwe na Kiba mwingine.
wanataka tuwajibu tu hawana lolote, ule uzi sijui wameufungua ili iweje
hapana cjafanya kitu alinikuta najibizana nao team domo kule kwenye uzi waliotutukana ndo akaniambia niachane nae nothing else ila hawa jamaa wanatudharau sana ila ngoja tuone #good thing are coming
nimemkuta sehemu huko anabattle na watu
naona kuna watu wanatafuta kick hapa umewaona. hao jamaa ni wanafiki sana. tuwapotezee ti
wanataka tuwajibu tu hawana lolote, ule uzi sijui wameufungua ili iweje
hakuna wa kubattle na mimi hata waje wote, nampenda sana atoto huwa hajibizani nao, wengi wamepungua na hata wachache watachoka tu, dawa yao ni kuwaacha tu maana hamna namna
well said mkuu,unajua wale majirani sijui wanatumia nini kufikiri ciz kingkiba alipofuta lile vumbi la kiti wakaanza kaja kupambana na mondi wakati maana yake kiba ni kuwa Kile kiti kilikuwa hakijakaliwa na ndo maana kina vumbi na kingekuwa kimekaliwa wakati yeye hayupo kwenye game kisingekuwa na vumbi maana in real sense mahali palipokaliwa na mtu hapana vumbi.
hakuna wa kubattle na mimi hata waje wote, nampenda sana atoto huwa hajibizani nao, wengi wamepungua na hata wachache watachoka tu, dawa yao ni kuwaacha tu maana hamna namna
Emagine mpaka mtu na akili zake timamu kabisaaa(kama sio za viroba) anatuwekea na shots zao wanazotukanana huko ig na hao mahawara zao walioachana, yaani hawa watu alowaroga kafa kwakweli maana kwa uchawi wetu mzito tulonao haturogi watu wa hivi, they r not worth it.
Alafu mamy kumbe na wew umeblock pm lol nilikuwa nimekuandikia bonge la gazetu kutuma duu mbona nimechokaaa....unaboa bhanaaa mm nimetumia pm ya mume na wew tumia pm ya mume nikutumie bhana maana nitaugua
Hahahaaaaaa!! Waliotutoa wenyewe hautuwathamini tutawathaminije lugha sasa?!!!
Hahah!
Hivi mwisho wa kuvote ni lini?
Nadhani bado sijampa kura za kutosha wizkid.