Ndioo hao ndo waongozaji wa matusi kujibizana kihoja hawawezi wao hukimbilia kukashifu na vimipasho vya kijinga. Kuna huyo mmoja huwa anabadilisha I'd na kujifanya kukashifu. Wanaume wengine bwana.
Nimeipenda comment yako
Na ninakubaliana nayo kwa kiasi kikubwa
Lakini naamini pia kuna vitu ambavyo timu ya Alikiba inakosea.Right?
By the way,Tunazihitaji hizi teams?
pwilo hukumuelewa peterchoka maana yale majina aliyaandika kuwakumbusha majina wanayomuita King, we ukahisi ndio amemuita king, hukufuatilia mjadala wa awali, so wewe ndio umekoseakwa nn mkuu hebu niambie mi najua ndo maana ni jokes tu team kiba cc tunapendana kushinda majirani zetu #Abuu Dady
+Mkuu naomba niingilie kidogo hii conversation yenu.
+umeeleza vizuri kua si jambo jema kulinganisha kila anachofanya Mondi basi na kiba afanye vilevile, lakini pia umeeleza kwamba mashabiki wa mondi wamekua wanakera sana kwa kumdharau na kumponda sana kiba, na hii imekua inawakera sana mpaka mkaamua kumvotia Davido.
+Hapo sawa lakini umebase upande mmoja, umesahau kua hata nyie pia huwa mnaponda sana na kumdharau Mondi, unadhani nyinyi huwa hamuwaudhi mashabiki wa Mondi?
+sasa kama sababu ni madongo na dharau za mashabiki wa mondi kwa kiba ndo zinawafanya mumvotie Davido, its okey. sasa Mungu si Athumani siku kiba kawa nominated tuzo za kimataifa kwa hiyo una maana team mond wasusie kumvotia Kiba simply bcoz mashabiki wa Kiba huwa wanawakera sana kwa madongo yao na dharau dhidi ya Diamond?
+i hope kama utakua umeweka ushabiki pembeni utakua umenielewa hapa namaanisha nini.
Tushawazoea mabaya ni ya kwetu na Kiba tu, wao watakatifu bwana, basi waendelee tu kuona hayo mabaya yake watuache nae tumemkubali hivyo hivyo ndio maana hatuishi kumsapoti na kumshauri pia
pwilo hukumuelewa peterchoka maana yale majina aliyaandika kuwakumbusha majina wanayomuita King, we ukahisi ndio amemuita king, hukufuatilia mjadala wa awali, so wewe ndio umekosea
Huyo freeland hujamfahamu side b yake...
achana nao hao wawili kejeli tu ndo zimewajaa hakuna wanalojua.
Mashabiki wa domo na domo yeye mwenyew mna dharau.. kwa nini? Kwa mfano jana nilisema nakubali baadhi ya nyimbo za domo mkafoka mkizani najipendekeza umeona tabia zenu sasa zilivyo? Watu kama ninyi mnawezaje kunishawishi ni vote for D. Mimi nilichokiona kwenye team yenu mnaongozwa na bifu na mikumbo. Na wanaume matusi mnatutukaja na wanawake wanajichekesha chekesha tuu...mnazani mziki utafikia wapi??
Lazma mkubali kuwa kiba tuzo alistahili lakini sio kujivuna wa ki intaneshno
Hilo swali hapo mwisho unaliuliza kweli??? Like srious!!! Hivi ni hawahawa wa siku zote ndio unaongea nao au kuna wapya??? Hongera
Tushawazoea mabaya ni ya kwetu na Kiba tu, wao watakatifu bwana, basi waendelee tu kuona hayo mabaya yake watuache nae tumemkubali hivyo hivyo ndio maana hatuishi kumsapoti na kumshauri pia
Avemaria kuwa mzalendo bwana, lugha gani hiyo sasa? Teh teh teh
Walaaa hakunitonya chochote, nimesubiri weee nikachoka
Alafu ni wanaume hawana ata aibu.
Tabia za kike zinawasumbua