BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,784
Unajua wakuu nyie mnakosea sana. Maneno yenu yamejaa kejeli sana mtanisamehe lakini.
Mi muda wa kuacha kufanya jambo ili umuumize fulani tunaenda na fact na kama huna cha kuchangia unaweza mkanyamaza. Maana hatujawafata kwenye uzi wenu hapa tupo kumshauri kiba na nazani mnaelewa sasa mnavyoleta maneno yenu ya kashfa ni wazi mnataka ligi za kijinga tuu. Acheni izo wakuu nyie ni wanaume maneno hayo waachieni akina dada. Mbona Freeland yeye anaandika anaeleweka na ndo kazi ya mwanaume iyo au nyie sio wanaume?
Jamani labda tujikumbushe kidogo bifu kati ya KIBA na MONDI liliaanza muda kidogo,na hao mnaosema hawajawai sikia shits za mondi juu ya kiba ni waongo kabisa au hamjui tatizo lilivyoanza...kwa ufupi pindi KIBA yupo nje mziki MONDI alishaongea vitu vya dharau vingi juu ya king mfano huo hapo chini,na ikumbukwe apo ndo ilikuja sababisha kambi ya kiba(vijana wa k.koo) wakaendaga kumpiga mondi na mayai viza club maishani alikokuwa anapiga show kipindi cha nyuma ata bado haja hit nje ya TZ,naona watu wamesahau hili na wengi nimegundua wamelishtukia bifu limekua kubwa ila hawajui chanzo coz nimeona ata kule kwenye jukwaa la burudani kuna mdau aliuliza nini chanzo cha bifu hasa kati ya hao wawili,Ok!..that's how it was,lakini haikufahamika kwanini MONDI aliamua kuonyesha dharau kwa mtu ambaye alikua ametulia kwenye game kwa wakati ule?
View attachment 262480View attachment 262480
Je ni kweli ilo jibu la alikiba kule Twitter ndo limemfanya atoe shit kama iyo?,na kulikuwa na ulazima gani wa yeye kufikia huko? Maana kama mtu amesema hataki kuimba nae Si basi tu na haina ulazima.
Baada ya kauli hizo za platnmz kuenea msanii bonge la nyau alimpa makavu yake fasta.
View attachment 262495
Sasa kama mtu amekopa ili ajenge nyumba yake yeye ilimuhusu nini labda kwani kukopa dhambi?
Na katika hali isiyo ya kawaida msanii OmmyDimpoz(kipindi icho alikuwa best wa MONDI) alivyhojiwa kuhusu MONDI na KIBA naye akamkandia kiba kwa kusema jamaa ameisha hana jipya wakati kiba ndo alimtoa kwenye ile collabo ya nainai.
Yaan mkuu kabla ya yote ni kwamba ili mziki wetu uendelee lazma tuache unafiki wa kufananisha vitu kwa mfano.
Domo kafanya shoo za nje kibao na kajaza watu sikatai ila nyie mnataka kiba akifanya shoo za nje ajaze kama domo asipojaza mnaanza mara oooh kafanyia sebuleni apo ni wazi mnaendeshwa na uteam na sio nia ya kuinua mziki.
sio lazima anachofanya domo kifanane na anachofanya kiba tuwaache wao ndo wanajua wanafanya nini ila ukisikia kumsaport au kumshauri unamshauri lakini sio kwa kumfananisha na dai.
Unajua hiyo tabia yenu ya kumdharau kiba inawaumiza sana mashabiki wake na ndo maana watu wapo radhi ku vote for Davido not mond. Kwa sababu kiba alivyopata tuzo badala ya kumpongeza mlimdis kuwa nyie level yenu ni intanetional sijui mna tuzo adi mnaumwa ndo kilichofanya fans wa kiba waka move to vote for davido ili domo ajue mziki sio pesa tuu mziki ni pamoja na kuwaheshimu wapenzi wa muziki.
Kwa kweli we have to change mkuu mistake ndogo inaweza sababisha mabalaa mengi sana
Kosa lake ni mtakatifu sana hafanyi makosa kabisa.
Mkuu nauliza tu kujua...sio kwa ubaya...huenda kuna jambo kubwa na baya sana alilofanya diamond kustahili chuki hii...ningependa kujua
Unajua wakuu nyie mnakosea sana. Maneno yenu yamejaa kejeli sana mtanisamehe lakini.
Mi muda wa kuacha kufanya jambo ili umuumize fulani tunaenda na fact na kama huna cha kuchangia unaweza mkanyamaza. Maana hatujawafata kwenye uzi wenu hapa tupo kumshauri kiba na nazani mnaelewa sasa mnavyoleta maneno yenu ya kashfa ni wazi mnataka ligi za kijinga tuu. Acheni izo wakuu nyie ni wanaume maneno hayo waachieni akina dada. Mbona Freeland yeye anaandika anaeleweka na ndo kazi ya mwanaume iyo au nyie sio wanaume?
Dah...mkuu akili zangu tena? I thought tunajadiliana kwa kuheshimiana
Hivi ni chuki gani mnayoiongelea labda mimi kuna kitu sijaelewa?
Wewe umeanza kujua lini maana ya heshima???
Hivi ni chuki gani mnayoiongelea labda mimi kuna kitu sijaelewa?
Unajua wakuu nyie mnakosea sana. Maneno yenu yamejaa kejeli sana mtanisamehe lakini.
Mi muda wa kuacha kufanya jambo ili umuumize fulani tunaenda na fact na kama huna cha kuchangia unaweza mkanyamaza. Maana hatujawafata kwenye uzi wenu hapa tupo kumshauri kiba na nazani mnaelewa sasa mnavyoleta maneno yenu ya kashfa ni wazi mnataka ligi za kijinga tuu. Acheni izo wakuu nyie ni wanaume maneno hayo waachieni akina dada. Mbona Freeland yeye anaandika anaeleweka na ndo kazi ya mwanaume iyo au nyie sio wanaume?
Hili balaa lote alilileta ndomo kwa misifa yake ya kijinga jinga na hakomi tu!! Alafu watu bado wanamtetea, uwiiii mie i kanti jamani. Kila la kherini ktk hilo.
+Mkuu naomba niingilie kidogo hii conversation yenu.
+umeeleza vizuri kua si jambo jema kulinganisha kila anachofanya Mondi basi na kiba afanye vilevile, lakini pia umeeleza kwamba mashabiki wa mondi wamekua wanakera sana kwa kumdharau na kumponda sana kiba, na hii imekua inawakera sana mpaka mkaamua kumvotia Davido.
+Hapo sawa lakini umebase upande mmoja, umesahau kua hata nyie pia huwa mnaponda sana na kumdharau Mondi, unadhani nyinyi huwa hamuwaudhi mashabiki wa Mondi?
+sasa kama sababu ni madongo na dharau za mashabiki wa mondi kwa kiba ndo zinawafanya mumvotie Davido, its okey. sasa Mungu si Athumani siku kiba kawa nominated tuzo za kimataifa kwa hiyo una maana team mond wasusie kumvotia Kiba simply bcoz mashabiki wa Kiba huwa wanawakera sana kwa madongo yao na dharau dhidi ya Diamond?
+i hope kama utakua umeweka ushabiki pembeni utakua umenielewa hapa namaanisha nini.
Huyo freeland hujamfahamu side b yake...
Hilo swali hapo mwisho unaliuliza kweli??? Like srious!!! Hivi ni hawahawa wa siku zote ndio unaongea nao au kuna wapya??? Hongera
Uweke huo ushahidi hapa tuuone.na kwa diamond upo pia tena upo mkubwa#KINGKIBA
Freeland siyo Celebrity mama...Tujadili ma Celebrity...Mimi majukwaa yote humu JF hua na comment ...inategemeana tu na mwelekeo wa mjadala...
Freeland siyo Celebrity mama...Tujadili ma Celebrity...Mimi majukwaa yote humu JF hua na comment ...inategemeana tu na mwelekeo wa mjadala...
Mkuu.....nimemkubali sana cute b at least mnaweza kujadiliana nae kitu mkaelewana
Kwa ujumla wake haya mambo ya vitimbi yanafanywa na pande zote mbili...Na hayana umuhimu wowote
Kitakachotokea hakuna atakaeenda mbele.....Matokeo yake ni kuumia kama Tanzania...kwa sababu jina letu halitatajwa tena...Aghalabu lilianza kutajwa katika muziki
Labda tutabaki Big brother