pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,562
- 14,627
hii swaumu hii bora ipite tuu manaa hili balaa litakuwa kubwa #kibajunior unju boy
Umemuulizia wapi mamy? Kama ni IG sio rahisi akajibu.
Kwanza achana nalo liendelee kuzubaa zubaa kwanza ana sauti mbayaaa maana ndo inayompa kiburi
Sasa mbona unazingua kama yeye??
Unanikera kinyama.
Kiba bhana anaboaaa unamuuliza vipi kideo lini jaman anajibu usijali sasa ndo nini?
Leo ni gambe tuu afu kesho nimesahau nahamia sport forum nikija huku nakuta na kideo tayari
hii swaumu hii bora ipite tuu manaa hili balaa litakuwa kubwa #kibajunior unju boy
wewe unamwua mwenzio.
Utabaki wewe na zabibu na wale waarabu koko wengine
kwa nn mkuu niambie nakukera nn nibadilike #rehemavisualab # this is too much
Wewe unamwua mwenzio.
Utabaki wewe na zabibu na wale waarabu koko wengine
Tumeshakinukisha huko huko instagram mpka meneja ake mmoja kanisaka
Niifute post niliyopost et nitamuharibia kiba
tumsapoti wote bila kuchoka jamani#kebekebe
punguzeni hasira jamani pa1 tutafiki #tumshamri tusimtusi kingkiba %abuy4really1