Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

ni kweli, hata mimi nimeiona hiyo kwenye site ya rockstar, itabidi tuanzishe kampeni nyingine huko insta

Tumeshakinukisha huko huko instagram mpka meneja ake mmoja kanisaka

Niifute post niliyopost et nitamuharibia kiba
 
Hahahahaaaaa! Matola nimecheka kama mazuri, yaani kweli kiba na management yake wote ni vipofu wanaoongozana, ila mwache wajichetue watazisoma nyayo(maana sie masikini magari ya kusoma plate namba hatuna)
 
Last edited by a moderator:
Sanaaaaa, we muache ajisahau tuje tumhame ndio akili itamjia, ila anavyotiaga huruma yule atalia walah, sijui anajivunia nn haswa yule mtu

punguzeni hasira jamani pa1 tutafiki #tumshamri tusimtusi kingkiba %abuy4really1
 
Eeh Mungu naomba umfungue macho Ali kiba atumie kipaji chake vyema kaba kazi na sio for fun.ameen.
Kwa kumalizia nimemkabidhi kwa Mungu aseme naye mimi sina la kusema tena.
 
Eeh Mungu naomba umfungue macho Ali kiba atumie kipaji chake vyema kaba kazi na sio for fun.ameen.
Kwa kumalizia nimemkabidhi kwa Mungu aseme naye mimi sina la kusema tena.

Ha ha ha
Aminaaaa.
 
True kuna vitu hivi (kipaji na uzuri wa sauti) havina nafasi kabisaa, (nimefurahi mwanadada ninaemkubali zaidi beyonce amekiri hilo hapa juzi)

Ni sawa na mwandiko mzuri kwenye mtihani sio ishu kabisa, but for some personal reasons inakubeba kidogo saana..

Ndio maana ukijaribu kuangalia xfactor marekani kwa mfano, kama ni mara ya kwanza utasema daaah huyu dogo baada ya miaka mi5 atakuwa beyonce au chris brown something which is not there... Hata kwetu bongo madogo wanajitahidi saana na niwakali vibaya kwenye bongo star search but wakitoka hapo hamna kitu...

Tallent add something to your work, but determination and hardworking makes you unique in your own level kwa upande wa muziki...

True, hata hao wanaija tunaowashobokea wana vipaji gani haswaa, hivi davido anaimba au anaongea ila see whr he is, tz tuna vipaji haswaaaa ila sasa wapowapo tu km wameagana na Mungu

Tena umeongea ya bongo star search ukanikumbusha walter chilambo aiseee, that dude is fireeeee ila sasa sijui hata alipotelea wapi
 
oya ww pwilo kwani wewe ni nani hasa, naona kama unamsemea, tena mwambie aje asome huku asilete usharobaro

Kabisaaa atoke huko insta anakojazwa upepo aje asome vitakavyomsaidia huku, maana kule ni ushabiki tu, mtu akieleza ukweli anautoa in a such way kwamba unatamani umtukane
 
Last edited by a moderator:
Hapana kuna mtu anaitwa Stanley enow yupo vizuri ni rapper na wanammeneji vizuri

Nafikiri anawania best collabo pale MTV awards

Tatizo Kiba ajiongezi anataka atafuniwe
Yani yupo kama kikongwe au mtu aliyepewa taraka

Hahahaaaaa uwiiii, ila dogo kazubaa jamani sijui shida nini!!!
 
Wewe
Amekua kama amepooza masikio

Hahaaaaa!! Muache mr ambassador huko!! Duuuh ila tumejitahidi kumpaisha hadi kapata kauambasada sio haba, sasa ajisahau akazane na tembo huko asahau tunataka mambo ya maana huku
 
Tumeshakinukisha huko huko instagram mpka meneja ake mmoja kanisaka

Niifute post niliyopost et nitamuharibia kiba

Mkuu wew ndo una ile account ya die hard fan? Nimeona kama mwandiko wako.
Weweeeeee usifuteee tena mwite kabisa aone asijidai kichwa ngumu
 
Mimi najiandaa kurudi jukwaa la siasa mzima mzima hawa mapimbi wasiojitambuwa mtabaki nao wenyewe.

Wewe dume zima unazidiwa akili hata na Wema Sepetu ambaye anaweza kujiongeza anakwenda bungeni wewe dume zima umelala tu pumbaavuu.
 
Back
Top Bottom