Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Pwilo ananiuzi hajui tu

Tatizo ni Kiba
Na mijitu Fulani Mfano Wa Pwilo ambao wamemznguka

Ameshaanza kuelewa mbona, atafikisha ujumbe kuwa hii fan base anayojivunia akumbuke hata mr,nice alikuwa nayo so asijisahau
 
Et mtu anajipndekeza yy ajibu SMS
Kiba ni mzigo ambao soon nitautua

Usiutue bwana, mtoto akinyea mkono.... tumpe muda kidogo tena tuone anafanya nini kama habadiliki basi nitabaki tu kusikiliza muziki wake as ndio ulonifanya nimjue na nimpende hayo mengine atajibeba nayo mwenyewe
 
Hahahaaaaa! Acha hizo mdogo wangu gambe likiisha je??
Tuendelee tu kumshtua huyu mtu wetu atastuka tu, hii management yake ya home ndio shida

Kiba bhana anaboaaa unamuuliza vipi kideo lini jaman anajibu usijali sasa ndo nini?
Leo ni gambe tuu afu kesho nimesahau nahamia sport forum nikija huku nakuta na kideo tayari
 
Cabbo snoop alizngua mnafki tu na yy

Mara ya kwanza alishindwa kufika location kushut video alivyofika akasema awez kushut na akataka aongezewe dai kutoka m10 to 25 Kiba akachomoa kipindi icho kabbo ni hatari

Sasa Leo kachuja anakuja tena
Ila ningekua Mimi Kiba ningekubali ili niiteke Angola kwenye music industry

Mimi sioni haja ya kudengua dengua bila sababu ya maana.
 
Hapana kuna mtu anaitwa Stanley enow yupo vizuri ni rapper na wanammeneji vizuri

Nafikiri anawania best collabo pale MTV awards

Tatizo Kiba ajiongezi anataka atafuniwe
Yani yupo kama kikongwe au mtu aliyepewa taraka

ni kweli, hata mimi nimeiona hiyo kwenye site ya rockstar, itabidi tuanzishe kampeni nyingine huko insta
 
Cabbo snoop alizngua mnafki tu na yy

Mara ya kwanza alishindwa kufika location kushut video alivyofika akasema awez kushut na akataka aongezewe dai kutoka m10 to 25 Kiba akachomoa kipindi icho kabbo ni hatari

Sasa Leo kachuja anakuja tena
Ila ningekua Mimi Kiba ningekubali ili niiteke Angola kwenye music industry

Huwezi jua hicho kiasi kilikuwa kikubwa mno kwa kiba wakati huo, ila naye si angekopa!! Mana kuwateka angola angejiongezea madili hela ingerudi tu, sema ndio hivyo mwenzetu walaa hafikirii kesho anaiona leo tu
 
Hata kama walikua wanatania, alipaswa afanye biashara kwa kauli yao

Mie ningewafukunyua kweli if they wr serious n how serious are they, huwezi jua wangempush kwa kiasi gani, tatizo dogo anaona kafika kumbe ndio kwanzaaaa kumekucha, hivi anadhani tunapenda ule uhandsome bila kazi? Aache aone atakula jeuri yake, hata hajui kuchangamkia fursa naye
 
Aisee.
Leo umenena...ila nikuulize ulufanikiwa kufanya naye mawasiliano yeyote?

This young guys hawabebeki, wapo wenye huitaji zaidi bora kupic them up, niliongea kitu na Sugu siwezi kukiweka hapa wazi hawa watoto sometime ni kuwapotezea tu, huu mziki tumetoka nao mbali na ni Redio one stereo mwaka 1993 walipania kuizika Bongo Fleva baada ya kufuta kipindi cha Rap time, kama Mike Mhagama ananisoma hapa anajuwa ni nini ninachokisema, sasa hawa watoto ambao hawajatokwa machozi jasho na damu tumeamuwa kuwaboost then wanaleta mapozi!! Nawapa dole la kati.
 
Kiba bhana anaboaaa unamuuliza vipi kideo lini jaman anajibu usijali sasa ndo nini?
Leo ni gambe tuu afu kesho nimesahau nahamia sport forum nikija huku nakuta na kideo tayari

Kideo mpaka nifah arudi.
Bora hata nyie anawajibu.Sisi wengine anauchubua tu kimyaa
 
Back
Top Bottom