Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kiba anapaswa kushindana na hali ya soko la muziki wa sasa akianzia nyumbani mpaka nje.
Kwa iyo ajifanyie anavotaka tu?
Jamani, sio sawa tutaishia kuchekwa kama mabundi tu.

Mie sikatai hilo mama na ndio lengo la huu uzi, kumshauri,kumpa changamoto na kumsapot, ila unajua hata ushauri una namna ya kutolewa, waweza tos ushauri mzuri tu ila ukaonekana wa ovyo kutokana tu na the way unavyoutoa, jazba za nini sasa jamani.
 
Mmmmh alikujibu hivyo?? Nakumbuka alipost kuwa "ninashukuru nimesikia ushauri wenu and am working on it"
Kwahiyo unataka kila unachomwambia akichukue? Kumbuka ushauri unaotolewa ni mwingi mnooo na watu tofautitofauti na kila mmoja na mtazamo wake, it needs time for him kuchuja which is which, na kumbuka ana management hawezi kujiamulia tu, cha msingi aisuke kwanza management yake vizuri ili iendane na soko la muziki kwa sasa, na unaweza ukute ana malengo yake tofauti kabisaaa na tunavyofikiria, tumpe muda

Tumpe muda mpaka masiah arudi😕😕😕😡
 
Ndugu majirani zetu tunaomba msome mjipitie kimya tu sio lazima ucoment upuuzi km kawaida yenu, here we are talking abt sensitive isue msitake kutuchafulia hali ya hewa, mtuache na Kiba wetu, una ushauri wa maana utoe, huna pita tu walaa hudaiwi hapa. Acheni shobo za kipuuzi bwana, hamkui tu!!!
 
Wee ebu jiheshimu tupo kwenye kikao cha familia kisichokuhusu kama huwezi kusikiliza ukakaa kimya pita iviii

Mie nna uwezo wa kukupa A to Z ya kuhusu Kiba ila kwa sababu nyie ni washabiki maandazi endeleeni kusubiri kitu ambacho hakipo. Ni mwendo wa disappointment tu.

Kiukweli ata mimi sifurahii hii kitu tunapoteza talent kubwa sababu ya mambo ya kiswahili tu hakuna ata la msingi la kukwamisha.

Jamani mtu kaachiwa goli afunge anapiga chenga bado. Uliza mwenzie yupo wapi sasa hivi na anafanya nini?
 
Mie sikatai hilo mama na ndio lengo la huu uzi, kumshauri,kumpa changamoto na kumsapot, ila unajua hata ushauri una namna ya kutolewa, waweza tos ushauri mzuri tu ila ukaonekana wa ovyo kutokana tu na the way unavyoutoa, jazba za nini sasa jamani.

Sasa mlitaka autoe kiaje yani?
I like it.
White is white, blue is blue
Baadaye nakuja wacha niitumikie ndoa.
 
Mie nna uwezo wa kukupa A to Z ya kuhusu Kiba ila kwa sababu nyie ni washabiki maandazi endeleeni kusubiri kitu ambacho hakipo. Ni mwendo wa disappointment tu.

Kiukweli ata mimi sifurahii hii kitu tunapoteza talent kubwa sababu ya mambo ya kiswahili tu hakuna ata la msingi la kukwamisha.

Jamani mtu kaachiwa goli afunge anapiga chenga bado. Uliza mwenzie yupo wapi sasa hivi na anafanya nini?

Kama una la kusema ungesema sio unaandika vitu ambavyo havina mantiki
 
Mie nna uwezo wa kukupa A to Z ya kuhusu Kiba ila kwa sababu nyie ni washabiki maandazi endeleeni kusubiri kitu ambacho hakipo. Ni mwendo wa disappointment tu.

Kiukweli ata mimi sifurahii hii kitu tunapoteza talent kubwa sababu ya mambo ya kiswahili tu hakuna ata la msingi la kukwamisha.

Jamani mtu kaachiwa goli afunge anapiga chenga bado. Uliza mwenzie yupo wapi sasa hivi na anafanya nini?

Hiviiii jirani hauwezi kutoa ushauri bila kukashifu??? Mmmh ngoja ninyamaze maana inaelekea kuna mazito kwenye hili
 
Sasa mlitaka autoe kiaje yani?
I like it.
White is white, blue is blue
Baadaye nakuja wacha niitumikie ndoa.

Duuuh mwanamke mchochezi wewe, nakugawa kwakweli, haya zitoeni hizo nyeti basi tuzijue hiyo ndoa utaihudumia tu, ila there is something wrong somewhr si bure.
 
Hiviiii jirani hauwezi kutoa ushauri bila kukashifu??? Mmmh ngoja ninyamaze maana inaelekea kuna mazito kwenye hili
atoto usikae kimya, sote tushirikiane kuondoa upepo huu
 
Last edited by a moderator:
Kiba anapaswa kushindana na hali ya soko la muziki wa sasa akianzia nyumbani mpaka nje.
Kwa iyo ajifanyie anavotaka tu?
Jamani, sio sawa tutaishia kuchekwa kama mabundi tu.

kwahiyo atoe nyimbo nyingi et basi sawa nitamfikishia salam #kebekebe
 
Eeeh!..ni kitu gani tena mkuu kimetokea kwa hiyo video?,alafu kama ni kitu sensitive sana naomba usicomment hapa just nifuate PM unijulishe bana.

abou anazngua tu bwana kiba yupo na ataendelea kuwepo subirini swaumu ipite waungwana msijali #abuuu99kiba
 
Back
Top Bottom