dah hawa team domo ni wavivu sana wakufikiria sasa shetta na ommydimpoz wamefanya collabo na wanigeria Kiba atashindwaje na yeye kufanya hajataka tu mwenyewe ila nigeria sio kimataifa na USA je ? domo kashindwa hata na Mayunga #yoooooooo

Na muda mnao kweli, kabisaaaa huyo ni wa kukaa unafanya naye convo hata ya ze comedy kweli!!!
tafadhali nakuomba achana naye huyo jamaa, naona kashaanza kutukana, hata collabo ya ommy na martin unabishana naye nini
ni kichwa maji kwanini asiende kwenye uzi wao huku anatafuta kick. mpotezeeni
davido amejuuua kukata ngebeeee, voteeee
IDuuuuuh!!! Hayo matusi sasa yanayomiminika huko aibu naona mie, si walisema wao wasafi hawana matusi??
Ila this is getting bad kwakweli, sio kwa matusi yale.
I
wanajiita maqueen na making wa matusi Africa.
waaache watukane hamna tusi jipya chini ya juaaa.
afu nijibu text message yangu naweew
Hi Haters" 😉
Hi lovers.....how bodi?
Jamani habari zenu?? Nimewamisi sina nishakua mjela jela.
Kazi ile ile
Vote vote vote for davido
Tupo mama, tunacheketua tu
i missed u my cute b
Nimekumiss zaidi my peterchoka.
Nilikuwa nasoma tuu mnavyopambana na wazee wa kukurupuka