Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kweli wazalendo wana mambo, now wanahahaaaa kumtafutia Kiba baya ili aonekene mbaya ila waaaapi ndio kwanza wanazidi kujichafua na kujidhalilisha, mtoto wa watu hana habari anafanya yake tu like no body's business, chezea mr. Ambassador!!!
#iheartkiba

Wana mambo kweli wazalendo wanajiona wako perfect mno. Yani wameshatafta kila baya Mara mbona ha follow watu mbona hapostiwi na maneno kibao.
Hahaa Kiba yuko kimya hana shida anafanya yake kimya kimya wengine wanabaki kupaniki tu.
Napenda hekima zake Kiba hajibu hovyo hyo ndo pona yake kuwa ignore wapuuzi ni njia bora kuliko kulumbana.
That's why namkubali Kiba hakurupuki hovyo safi sana Kiba.
 
Kuwa shabiki wa mtu anayejitambua rahaaaaaa!! Hana shobo za kishamba wala nn, he is just "a man" not a boy, kudoooos to him
 
Ndo mana na sababu zaidi ya billion kumkubali ana act kiutu uzima. He is matured enough keep it up Kiba.
 
Attachments

  • 1434725667695.jpg
    1434725667695.jpg
    81.5 KB · Views: 73
Ndo mana na sababu zaidi ya billion kumkubali ana act kiutu uzima. He is matured enough keep it up Kiba.

Waaaoh!! Awaache wapige kelele tu, hiyo ni kawaida ya madebe tupu, anazidi kung'aa hivyo tu yaani, i'll always be his fan
 
Teh teh teh teh jipoozea tu eeh.

Diamond anawezaje Fanya media tour south Africa yaan anatembelea radio n TV tofauti diz guy iz international kweli aiseee mara merto FM, Mara kaya FM Mara ym FM ooh hadi channel o tv diamond shikamoo
 
Kweli Dai kavurugwa, sasa media tour ya nini wakati ngoma zake zilishachuja tangu week ya kwanza ilipotoka? Eti south my foot!!!
 
I seeeeeeeeeeee!!
 
ali kiba ana watoto watatu diamond je ? tuanze hapo halafu tutakuja kwenye mziki #Rockstar 4000 presents#one8 projects #Ambassador

Anatarajia mtoto vp anawalea watoto wke au watoto hawapati malezi ya baba anywhere twende kwny mziki Diamond ana tuzo 24+ toka anze kufanya mziki Ali kiba je
 
Kweli Dai kavurugwa, sasa media tour ya nini wakati ngoma zake zilishachuja tangu week ya kwanza ilipotoka? Eti south my foot!!!

Zimechuja kwako labda vp unangaliaga top 20 ya trace vp ya MTV au hauna kingamuzi ndugu tukununulie 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom