Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

nifah mfungo mwema!
Ahsante kwa kunikabidhi vifaa vyako vya kuwangia.
Umetuacha wakati ambao Dinazarde kachukua degree yake ya uchawi.Ni shiida ila kwa kuwa uchawi wetu wa kuruka na ungo kataruka ruka katapoa.
Ntakumiss jamani uwe unapitia japo pm Mdakuzi mama anafunga tutammiss na wewe ndio hatujui ulifia wapi!
Mweee.
Jamani watoto wa maskani msiwe wapole sana.
 
Last edited by a moderator:
Vote vote votee.
Sambaza upendo.
Mtafurahi na shoo mwaka huu habari ya mujini ni kuvote for davido hutaki pasuka.
Best male.... davido.
Best collab.....david and uhur.
Best live....mr flavour
Sisi tuna deal na category tatu tuu.
Chezeiyaaaa
 
😀😀😀 ivi Ali kiba hayupo ktk izo tuzo mbona unamvotia davido we
 
Sielewi unajisumbua nini na mtu asiye na tym na wew endelea kulisha njiwa
 
Attachments

  • 1434633560133.jpg
    1434633560133.jpg
    21.5 KB · Views: 74
Mimi sijasikiliza ni nini kimesemwa?

Kampeni mpya kupambana na Ujangili wa Tembo duniani yazinduliwa. Msanii Ali Kiba ateuliwa kuwa mmoja wa Mabalozi wa kampeni hiyo duniani.

"Just announced at a press conference in Dar es Salaam this morning, I am proud to be the new Ambassador for WILDAID with Hasheem Thabeet and former Miss Tanzania, Jacqueline Mengi joined."

Magwiji wengine ambao wanaungana na KingKiba ni;

Jackie Chan, Yao Ming, Edward Norton, Prince William, David Beckham, Leonardo DiCaprio, Ralph Fiennes, Harrison Ford, Kate Hudson, Sir Richard na Branson!.

Hakika nyota ya Ali Kiba inang'aa. Na Nyota na ing'ae kwako wewe nakuombea.

Mwenyewe anakuambia "Asante Asanteni Sana! ‪#‎TeamKiba‬ ‪#‎KingKiba‬ ‪#‎ROCKSTAR4000‬ ‪#‎AWFfacts‬"
 
Hahahaaaa sipati picha domo alivyochukia
 
Acha a vote anavojisikia bundle ni lake.
Hafu uliadimika sana kijana bussiness ilikua busy nini?

Cjamkataza kuvote just nimeuliza ah mie nilikuwa mbali sn uko hata network hamna mambo flan ya kusaka mshiko
 
Sasa una chomsakama nini eti ulikua mbali sijui network wakati ulikua unaugulia maumivu ya kukosa tuzo. Pole eeeeh.
Hivi hao njiwa ulishawamaliza nataka nikuyungishe kidogo ili usipate tabu.
 
😀😀😀 wameisha wote yaan
 
Back
Top Bottom