Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,595
- 1,135
Tuko poa, hatuna habareeee.
Zetu kazi wao mapovu.Tuko kwenye campaign ya kuwapigia kura akina Davido, Vanessa, Mr. Flavour na Wizkid.
Iyo kampeni iko poa as long as itasaidia kuondoa zile kelele za CHURA(TEAM MONDI) zisizomzuia TEMBO(KINGKIBA) kunywa MAJI(TUZO).